Marathon day
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 643
- 1,016
Naomba nichangie machache kuhusu Bandar / DP would . hoja zimekua nyingi na serikali haijaelimisha wachangiaji wengi maana halisi ya ukodishwaji wa bandari. Naomba nieleweke Bandari haiwezi kuuzwa kwa maana yoyote ile, inakodiswa kwa msimamiaji.
Bandari ni sehemu ya mipaka ya Inchi , huwezi kuuza/ kukodisha mipaka ya Inchi . kinacho kodiswa ni usimamizi wa mizigo tu, ikumbukwe Mizigo yote inayoingia Bandarini iko chini ya TRA na BANDARI ni msimamizi wa mizigo tu. Bandari / DP WOULD hawezi kutoa mzigo wowote bila idhini ya TRA. Bandari atabaki kuwa mpokeaji mizigo na mhifadhi mizigo tu.
Kodi yote inapokelewa / Kukusanywa na TRA, Bandari / DP WORLD anachukua Ada / tozo ya kuhifadhi mizigo ( Handling charges tu) na hiyo charge kama ni DP WORLD atagawana na mhifadhi mkuu ambae ni Bandari. Kuna mdau mkubwa wa Dandari anaitwa SHIPER ! Huyu anakusanya mizigo kwa wateja mbali mbali,let's say China, Dubai, UK USA nk , a natafuta meli, na kupakia mizigo kuja Tanzania.
Anatengeneza mchanganuo wa mizigo, huu wa huyu huu wa yule, anaandaa Manifest ya mzigo anamkabidhi msafirishaji MELI. Meli anakuwa na mwakilishi wake nchini, anaitwa Shipping line. huyu atasimamia/ Kuwasilisha manifest kwa TRA na Bandari. TRA atasajili ile manifest ya mizigo ya meli nzima, na kuwasilishea kwa wadau wa Bandari, na kwa Bandari pia/ DP WORLD.
SASA meli imefika , msimamizi wa mizigo BANDARI / DP WORLD , anasimamia mizigo kushuka toka kwenye meli na kuihifadhi kwenye storage yake. Hapo anasubiri Mkusanyaji kodi mkuu TRA ambae ndio msimamiaji mkuu wa mizigo, ikumbukwe huwezi kutoa mzigo wowote bila idhini yake (TRA) MZIGO UMEFIKA, mwenye mzigo ataomba kulipa ushuru kwa TRA na TRA ataratibu kila kitu ikiwepo kuukagua mzigo na kujiridhisha na kukusanya kodi.
MIZIGO YA NCHINI ( LOCAL) mwenye nzigo akishalipia kodi kwa TRA ,atapeea stakabadhi inayomruhusu kuichukua mzigo wake ( RELEASE) mwenye mzigo atakwenda kwa mwakilishi wa mwenye MELI , ( SHIPPING LINE) naye atapokea charge zake na kutoa ruhusa ya mwenye mzigo kupokea mzigo wake ( DELIVERY ODER ) Mwenye mzigo atawasilisha stakabadhi zote mbili, RELEASE ya TRA na DELIVERY ODER ya SHIPPING LINE kwa BANDARI/ DP WORLD , hapo sasa BANDARI/ DP WORLD atatoa charges zake kwa mwenye mzigo ambazo ni HANDLING Charges na kuruhusu mzigo kutoka. na ili utoke getini ikumbukwe Mtoza ushuru mkuu TRA yupo getini kusimamia.
Nauliza swali BANDARI/DP WORLD atahusiswa vipi na upotevu wa kodi wa kanisa na wateja wengine? Nadhani kunahitajika Elimu kidogo ya wachangiaji. Kwa ushindani wa sasa kwa Soko la BANDARI uwekezaji/ upangiswaji wa Bandari hauepukiki.. tuchangie hoja kwa vifungu vya mkataba na nadhani vinazungumzika. Tuache kuhoji Bandar yetu inauzwa, utauzaje Lango la kuingilia nchi? DP WORLD atabaki kuwa mhifadhi na mpokeaji mizigo tu. kama TICKS na Airport ( SWISS PORT) Nawasilisha.