Nichangie kuhusu DP World / sio mkataba

Unajitekenya kisha unacheka mwenyewe, ni nani amekataa DP world, hakuna hata mjinga mmoja anaweza kukataa uwekezaji hayupo

ila wote tunakataa mkataba wake ni mbovu kitu ambacho hutaki kuongelea sasa ina maana gani andiko lako hii kwa sssa
 
Hapo ndipo pakujadili, kuwe na ukomo, na vifungu Tata virekebishwe, ila kwa ukodishwaji ni mda muafaka kutokana biashara shindani za Bandari . Na kupata mtu mwenye ushawishi na waleta mizigo ( Shiper ) Sina mashaka na DP would.
Nami ninaamini ya kwamba Watanyika hatupingi kuhusu ukodishwaji wala uwekezaji,bali ni mashariti,vifungu na utata wa mkataba huu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…