Nicholas Musonye ni Katibu wa Milele wa CECAFA ?

Musonye yupo makini sana sema wa bongo na ukweli ni mtu na mkwe wake hawakai pamoja
 
Musonye ni sawa na Mbowe tuu yaani sijui hii cecafa ni ya baba mkwe wake naye. Sitaki povu pita kimya kimya.
 
Nje ya mada
Umwenyekiti wa kudumu wa Mbowe hauna tofauti na ukatibu wa kudumu wa Musonye

Sasa mnasubiri hadi nini kitokee ili mjue Mbowe amefeli kukiongoza chama?
Angalia amesababisha Chadema kufeli tangu 2015 na 2019 uchaguzi serikali za mitaa lakini badala mmwambie ajiuzulu mnamchekea

Subirini 2020 mjitoe tena uchaguzi sawa ee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaleta upuuzi kwenye mada isiyohusiana na upuuzi unaoozungumzia.
Bogus
Umwenyekiti wa kudumu wa Mbowe hauna tofauti na ukatibu wa kudumu wa Musonye

Sasa mnasubiri hadi nini kitokee ili mjue Mbowe amefeli kukiongoza chama?
Angalia amesababisha Chadema kufeli tangu 2015 na 2019 uchaguzi serikali za mitaa lakini badala mmwambie ajiuzulu mnamchekea

Subirini 2020 mjitoe tena uchaguzi sawa ee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imebidi niulize maana ni miaka mingi namsikia akitambulishwa kama Katibu mkuu wa CECAFA , kwa kumbukumbu zangu katika uongozi wa Musonye ndio kipindi ambacho michuano hii maarufu sana imepoteza heshima yake kiasi cha kufunikwa hata na Ndondo Cup.

Hivi Katibu Mkuu wa CECAFA anapatikanaje ? umefika wakati wa kupata katibu mpya atayeleta maendeleo ya soka kwenye ukanda huu , ikibidi hata kwa kufanya mapinduzi , Hatuwezi kuwa na viongozi wasio na maono na waliokosa ubunifu .
 
Umwenyekiti wa kudumu wa Mbowe hauna tofauti na ukatibu wa kudumu wa Musonye

Sasa mnasubiri hadi nini kitokee ili mjue Mbowe amefeli kukiongoza chama?
Angalia amesababisha Chadema kufeli tangu 2015 na 2019 uchaguzi serikali za mitaa lakini badala mmwambie ajiuzulu mnamchekea

Subirini 2020 mjitoe tena uchaguzi sawa ee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mahali siasa, kuna muda wa ku-relax bhana! Mbona mi tangu nazaliwa nasikia Ccm tu ikitawala? Nenda jukwaa la siasa ukarumbane huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umwenyekiti wa kudumu wa Mbowe hauna tofauti na ukatibu wa kudumu wa Musonye

Sasa mnasubiri hadi nini kitokee ili mjue Mbowe amefeli kukiongoza chama?
Angalia amesababisha Chadema kufeli tangu 2015 na 2019 uchaguzi serikali za mitaa lakini badala mmwambie ajiuzulu mnamchekea

Subirini 2020 mjitoe tena uchaguzi sawa ee

Sent using Jamii Forums mobile app
Zidumu fikra za mwenyekiti Mbowe 😂
 
Back
Top Bottom