inafika wakati ni lazima apishe wengineMusonye yupo makini sana sema wa bongo na ukweli ni mtu na mkwe wake hawakai pamoja
Unataka akale wapi?Musonye tupishe
Hivi hatuwezi kufanya mapinduzi ?Yaani ni shida.
😆😆😆😆Leo karia naona kachukua urais, huyu musonye yeye atatoka lini?
ohoooooo !!Hivi hatuwezi kufanya mapinduzi ?
😆😆😆 umenikumbusha Lundenga alikuja kudhalilika mahali padogo sana baada ya kumpa umiss TZ bibi kizee mtoto wa MtemvuHuyo Ni Kama Lundenga na Miss Tanzania yake
Mleta mada ni pro Chadema wa kutupwaMusonye ni sawa na Mbowe tuu yaani sijui hii cecafa ni ya baba mkwe wake naye. Sitaki povu pita kimya kimya.
Jikite kwenye madaMusonye ni sawa na Mbowe tuu yaani sijui hii cecafa ni ya baba mkwe wake naye. Sitaki povu pita kimya kimya.
Nje ya madaMleta mada ni pro Chadema wa kutupwa
ila cha ajabu haoni kundule kuwa Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Umwenyekiti wa kudumu wa Mbowe hauna tofauti na ukatibu wa kudumu wa MusonyeNje ya mada
Umwenyekiti wa kudumu wa Mbowe hauna tofauti na ukatibu wa kudumu wa Musonye
Sasa mnasubiri hadi nini kitokee ili mjue Mbowe amefeli kukiongoza chama?
Angalia amesababisha Chadema kufeli tangu 2015 na 2019 uchaguzi serikali za mitaa lakini badala mmwambie ajiuzulu mnamchekea
Subirini 2020 mjitoe tena uchaguzi sawa ee
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebidi niulize maana ni miaka mingi namsikia akitambulishwa kama Katibu mkuu wa CECAFA , kwa kumbukumbu zangu katika uongozi wa Musonye ndio kipindi ambacho michuano hii maarufu sana imepoteza heshima yake kiasi cha kufunikwa hata na Ndondo Cup.
Hivi Katibu Mkuu wa CECAFA anapatikanaje ? umefika wakati wa kupata katibu mpya atayeleta maendeleo ya soka kwenye ukanda huu , ikibidi hata kwa kufanya mapinduzi , Hatuwezi kuwa na viongozi wasio na maono na waliokosa ubunifu .
Kila mahali siasa, kuna muda wa ku-relax bhana! Mbona mi tangu nazaliwa nasikia Ccm tu ikitawala? Nenda jukwaa la siasa ukarumbane huko!Umwenyekiti wa kudumu wa Mbowe hauna tofauti na ukatibu wa kudumu wa Musonye
Sasa mnasubiri hadi nini kitokee ili mjue Mbowe amefeli kukiongoza chama?
Angalia amesababisha Chadema kufeli tangu 2015 na 2019 uchaguzi serikali za mitaa lakini badala mmwambie ajiuzulu mnamchekea
Subirini 2020 mjitoe tena uchaguzi sawa ee
Sent using Jamii Forums mobile app
Zidumu fikra za mwenyekiti Mbowe 😂Umwenyekiti wa kudumu wa Mbowe hauna tofauti na ukatibu wa kudumu wa Musonye