Mleta mada ni pro Chadema wa kutupwa
ila cha ajabu haoni kundule kuwa Mbowe ni Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Leodigard alipata urais wa cecafa, akamkuta Nicolas pale na akatoka akamuacha. Hata Wales atatoka na atamuacha.Karia kaingia ngoma drooo.....
Alikuwa anaitwa nani yule binti mtemvu nifukue kaburiπππ umenikumbusha Lundenga alikuja kudhalilika mahali padogo sana baada ya kumpa umiss TZ bibi kizee mtoto wa Mtemvu
Musonye yupo tangu enzi za FAT ya ndolanga akaja tenga, malinzi, nyamlani, karia yeye bado yupo tu...Hata Leodigard alipata urais wa cecafa, akamkuta Nicolas pale na akatoka akamuacha. Hata Wales atatoka na atamuacha.
He is a ze kipePeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake la kiswahili anaitwa Chausiku , lakini baadaye akajipa la kisasa , subiri nikutafutieAlikuwa anaitwa nani yule binti mtemvu nifukue kaburi
SitiJina lake la kiswahili anaitwa Chausiku , lakini baadaye akajipa la kisasa , subiri nikutafutie
Haswaaaaa !!Siti