Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MHE. NICHOLAUS NGASSA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MFUKO WA JIMBO.
Wajumbe wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga wakipitia mchanganuo wa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kuidhinisha matumizi. Kikao cha Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Igunga kimeongozwa na Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mbunge wa Jimbo la Igunga na Mwenyekiti wa Kamati ya Mfuko wa Jimbo.
Kikao kimeidhinisha matumizi ya Fedha kiasi cha Shilingi 80,740,800/- kwenda kwenye Vijiji na Vitongoji kuchochea Maendeleo.
"Kazi na Maendeleo"
Imetolewa na:
Nassor Saleh Amor
Katibu wa Mbunge
21 Februari, 2023