Nichukue fursa hii kuwakumbusha wenye ndoa kuchukua tahadhari UKIMWI upo

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Nipo Arusha na nimeshuhudia watumishi wa umma waliokuja Arusha wanavyofanya matusi. Asilimia kubwa wapo wawili wawili jambo ambalo ni kiashiria cha ukiukwaji wa viapo vya ndoa.

Tumeona namna mwezi huu wa Kwaresma na Ramadhani ulivyogeuzwa mwezi wa matumizi na kula Bata. Ibada zimewekwa pembeni usiku na wakati mwingine hata mchana tumesikia wanadamu wakijipa moyo kwamba watalipiza huko mbeleni baada ya pasaka na Eid.

Sijamsikia mwanasiasa aliyekemea zinaa. Sijamsikia mwanasiasa aliyekemea ngono uzembe. Naamini walipitiwa.

Nichukue fursa hii kuwakumbusha wenye ndoa kuchukua tahadhari UKIMWI upo.
 
Uzuri wa ile kitu haina makombo ila hua inachakaa, anyway utamu sio kitu cha kumnyima mtu, mwache mwenzio apate raha kwa kutumia mali yake.
 
Nipo Arusha na nimeshuhudia watumishi wa umma waliokuja Arusha wanavyofanya matusi. Asilimia kubwa wapo wawili wawili jambo ambalo ni kiashiria cha ukiukwaji wa viapo vya ndoa.

Tumeona namna mwezi huu wa Kwaresma na Ramadhani ulivyogeuzwa mwezi wa matumizi na kula Bata. Ibada zimewekwa pembeni usiku na wakati mwingine hata mchana tumesikia wanadamu wakijipa moyo kwamba watalipiza huko mbeleni baada ya pasaka na Eid.

Sijamsikia mwanasiasa aliyekemea zinaa. Sijamsikia mwanasiasa aliyekemea ngono uzembe. Naamini walipitiwa.

Nichukue fursa hii kuwakumbusha wenye ndoa kuchukua tahadhari UKIMWI upo.
ARV zipo,ila nawakumbusha Watumishi wenzangu msipende kutembelea Rimu! Nilimsikia Msigwa akisema!!!!!!
 
Nipo Arusha na nimeshuhudia watumishi wa umma waliokuja Arusha wanavyofanya matusi. Asilimia kubwa wapo wawili wawili jambo ambalo ni kiashiria cha ukiukwaji wa viapo vya ndoa.

Tumeona namna mwezi huu wa Kwaresma na Ramadhani ulivyogeuzwa mwezi wa matumizi na kula Bata. Ibada zimewekwa pembeni usiku na wakati mwingine hata mchana tumesikia wanadamu wakijipa moyo kwamba watalipiza huko mbeleni baada ya pasaka na Eid.

Sijamsikia mwanasiasa aliyekemea zinaa. Sijamsikia mwanasiasa aliyekemea ngono uzembe. Naamini walipitiwa.

Nichukue fursa hii kuwakumbusha wenye ndoa kuchukua tahadhari UKIMWI upo.
Kazi ipo
 
Back
Top Bottom