Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
ARV zipo,ila nawakumbusha Watumishi wenzangu msipende kutembelea Rimu! Nilimsikia Msigwa akisema!!!!!!Nipo Arusha na nimeshuhudia watumishi wa umma waliokuja Arusha wanavyofanya matusi. Asilimia kubwa wapo wawili wawili jambo ambalo ni kiashiria cha ukiukwaji wa viapo vya ndoa.
Tumeona namna mwezi huu wa Kwaresma na Ramadhani ulivyogeuzwa mwezi wa matumizi na kula Bata. Ibada zimewekwa pembeni usiku na wakati mwingine hata mchana tumesikia wanadamu wakijipa moyo kwamba watalipiza huko mbeleni baada ya pasaka na Eid.
Sijamsikia mwanasiasa aliyekemea zinaa. Sijamsikia mwanasiasa aliyekemea ngono uzembe. Naamini walipitiwa.
Nichukue fursa hii kuwakumbusha wenye ndoa kuchukua tahadhari UKIMWI upo.
Trump pia yupo madarakani!ARV zipo
Kazi ipoNipo Arusha na nimeshuhudia watumishi wa umma waliokuja Arusha wanavyofanya matusi. Asilimia kubwa wapo wawili wawili jambo ambalo ni kiashiria cha ukiukwaji wa viapo vya ndoa.