Nichukue gari gani kati ya hizi?

kivulini

Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
73
Reaction score
40
Wakuu nawasalimu,

Kutokana na ushauri na maoni pamoja uhalisia wa mahitaji yangu nimebaki na option 3.
1.IST old model
2.Spacio new model
3. Premio old model

Wakuu naomba ushauri wenu specifically nichukue gari gani yenye engine gani nzuri maana naona engine ni nyingi afu zinatofautiana na ya mwaka gani na mengine ambayo sijayataja naomba msaada wenu wadau ili nifunge hili zoezi na nitaleta mrejesho kwenu.

Asanteni.
 
Mkuu yeyote utakayochukua siku ukihitaji body parts (side mirror, bumper, show nk), ninazo nitakuuzia kwa bei nzuri.

jipu , Toyota ist 2002... Front bumper (yenye fogo & antena) bei gani? Side mirrors bei gani?
 
SAMAHANINI WADAU NIKO NJE YA MADA KIDOGO, NIWAPE HUDUMA HII, WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,

nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
( Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)

Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921

JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat( angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!

Ukikamilisha nifahamishe ! 0717700921
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…