Wakuu nawasalimu,
Kutokana na ushauri na maoni pamoja uhalisia wa mahitaji yangu nimebaki na option 3.
1.IST old model
2.Spacio new model
3. Premio old model
Wakuu naomba ushauri wenu specifically nichukue gari gani yenye engine gani nzuri maana naona engine ni nyingi afu zinatofautiana na ya mwaka gani na mengine ambayo sijayataja naomba msaada wenu wadau ili nifunge hili zoezi na nitaleta mrejesho kwenu.
Asanteni.