Nichukue gari gani?

Wakuu mambo vepee!

Kama ambavyo mnajua, nimekuwa nikiendesha hii gari kwa muda wa miaka 2 na nusu. Nadhani huu ni muda muafaka wa kutoka kwenye Altezza.

Mnanishauri nichukue gari gani?

NB: Siuzi gari.

Natanguliza shukrani.
Samahani kama ntakuudhi sina wivu maana hata mimi nina gari,hyo Altezza kama iko vzr endelea kuitumia na hiyo pesa ulonayo ifanye izae kibiashara ili mwisho wa siku uwasaidie wahitaji,huku mitaani hali ni mbaya kiuchumi kwa waTanzania.ni mwajiliwa pekee tu ndo anaweza akashindwa kunielewa nachomaanisha kwa sababu yeye ana uhakika na anaweza akachelewa kujua vyema hali ya kiuchumi nje ya box la ajira.nisamehe kwa ushauli unaoweza kukukwaza!
 
Mbona ushauri mzuri tu huu.
 
Wakuu mambo vepee!

Kama ambavyo mnajua, nimekuwa nikiendesha hii gari kwa muda wa miaka 2 na nusu. Nadhani huu ni muda muafaka wa kutoka kwenye Altezza.

Mnanishauri nichukue gari gani?

NB: Siuzi gari.

Natanguliza shukrani.
Infinity Q60
 
ᴄʜᴜᴋᴜᴀ ᴅᴄɪᴍ ɴᴀᴢᴏ ɴɪ ɴᴢᴜʀɪ ɪᴛᴀᴋᴜsᴀɪᴅɪᴀ ᴋᴡᴇɴʏᴇ ᴍɪᴢɪɴɢᴜᴋᴏ ʏᴀᴋᴏ ᴋᴀᴍᴀ ᴅᴀʀ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…