Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beba harrier itakufaaMillion 23.
Mimi ndio kwanza namuona...ebu tushangae wote.... maana nlikuwa najiuliza mbona mi sijui
Exactly. Katoka Saloon Altezza, naona angeenda Saloon BMW pia.Jaribu European Models.
Binafsi narecommend BMW 320i. Lipo simple na rahisi kulimaintain.
Au kama unapenda SUV's basi chukua BMW X3.
![]()
![]()
![]()
Vanguard ni mile 23??
Exactly. Katoka Saloon Altezza, naona angeenda Saloon BMW pia.
Katika BMW saloon nipo kwa Bavaria chukua 3 series. Sasa hapo kuna model nyingi, ila kama una budget nzuri above 20million chukua e90 (3 series ya kuanzia mwaka 2006) ni tamu sana, especially ukipata 320d. Ila kama utataka milango mitatu utaenda kwa e92 yako sawa kasoro idadi ya milango.![]()
Ila kama una budget ya million 12 hadi 16 chukua BMW 3 series generation ya chini, e46. Nayo ni nzuri sana.
![]()
Ukitaka mbwembwe zaidi chukua izo izo model ila more powerful versions, ///M power.
Bado nashauri BMW kama budget sio tatizo na umechoka Saloon unataka SUV nenda kwa BMW X5 or X3. Please usichukue Mercedes Benz MLs. They are crap SUVs out there.
Wengi wanaziogopa sana wakidai service gharama sana na spare hazipatikani. Ila wengi wanazile idea za miaka ya 2005. Sasa hivi mambo tofauti ata dealers wa hayp magari wapo Tanzania. Na ukiyatunza ni durable sana, Japanese hayagusi.Good analysis bro.
Hizi BMW ni cheap to maintain, cheap to buy and fun to drive. Bila kusahau ni durable sana endapo utaitunza.
Tatizo la milango mitatu kwa familia za Africa hasa Tanzania ni shida na usumbufu. Mara jirani kakuomba lift, sijui umebeba familia kwenda kwenye event fulani itabidi ushuke ili apande. Hizi zinafaa kwa familia ya mtu mmoja au wawili.
Wengi wanaziogopa sana wakidai service gharama sana na spare hazipatikani. Ila wengi wanazile idea za miaka ya 2005. Sasa hivi mambo tofauti ata dealers wa hayp magari wapo Tanzania. Na ukiyatunza ni durable sana, Japanese hayagusi.
Kama ulivyosema haya couple sio mazuri aisee. Milango miwili kweli imekaa kichoyo. Labda uwe na gari jingine kubwa. Kwahiyo kwa hapo aende na 3 series ya E46 (Beforward kama Million 16 hadi analishika) au E90 (Hapo Million kama 20).
Akiwa interested na X series aende na X3 (imekaa safi kwa wadada) au X5. Ingawa hapa nina mashaka na hiyo budget.
Machaguo bado yapo kwa 5 series, 1 series na 7 series. Ila kwa mazingira yetu na barabara zetu, nashauri E46.
Mimi nilikuwa sijui,Wakuu mambo vepee!
Kama ambavyo mnajua, nimekuwa nikiendesha hii gari kwa muda wa miaka 2 na nusu. Nadhani huu ni muda muafaka wa kutoka kwenye Altezza.
Mnanishauri nichukue gari gani?
NB: Siuzi gari.
Natanguliza shukrani.
hahaha dodge charger??? una hatari ww labda mtoto wa bakhresa ndo anaweza nunuaNashauri Dodge Charger, Chevy Camaro, Nissan Maxima, au Toyota Camry.