Nichukue gari ipi kati ya haya na kwanini

Kuna hii mashine mnaipotezea sana Honda ila sijui bei yake kama ipo sawa na hizo hapo ila ni gari kweli balance ipo mafuta kinanusa na sio kibovu kibovu hata safari ya mbali kinaenda bila kukupa matatizo ya mgongo tujifiche humu tu hakuna namna.
 
Kuna mambo muhimu ya kufahamu
1. Hali ya barabara ni vumbi au lami
2. Uwezo wako kiuchumi
3. Matumizi au mahitaji yako, kuna gari huwezi kubeba hata kiroba cha mchele.
 
Kuna hii mashine mnaipotezea sana Honda ila sijui bei yake kama ipo sawa na hizo hapo ila ni gari kweli balance ipo mafuta kinanusa na sio kibovu kibovu hata safari ya mbali kinaenda bila kukupa matatizo ya mgongo tujifiche humu tu hakuna namna.
Honda fit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…