Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,769
- 16,799
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kinyagi na zile za kupima mithiri ya mafuta ya taa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kinyagi na zile za kupima mithiri ya mafuta ya taa
Ina chura?Kama haujali juu ya mafuta na unapenda luxury car go for crown.
[emoji3][emoji3][emoji3]Ina chura?
Mbona sie tumekaa nako miaka 8 hailijasumbua kitu na linaenda msafaUsithubutu kununua Brevis,hizo gari hua ni tatizo kubwa sana kama la Nissan Xtrail...yani Brevis inaweza kua inachemsha tu na umeitoa showroom jana au juzi,mala imepinda Cylinder head,yani ile gari sijui walikosea wapi
Teh.!Konyagi na zile za kupima mithiri ya mafuta ya taa
Aisee hii kitu sijawahi kuiona kwenye Brevis niliyoendesha kwa miaka mitatu hadi minne hivi mpaka tunaiuza. Na ilitoka showroom ya wapakistan ikiwa na zaidi ya km 110K. Ilikuwa inasafiri kiasi na safari za huku mjini ni daily. Tumeiuza ikiwa na km zaidi ya 180K. Engine haikuwahi kuguswa especially hilo la kuchemsha. Binafsi napenda mwonekano wa Mark X ila sijawahi kuiendesha siwezi kuizungumzia.
Ni brevis ngapi umeziona au kusikia zina hilo tatizo? Kwa sababu kufikia kuifananisha na Xtrail umenistua kidogo
kwa km hizo uliiuza kwa bei gani
Tupe mrejesho mkuuNashukuru wajumbe kwa shauri zeni nzuri tukutane Kwa bwana
Mark X
Unataka mrejesho wa nini?Mwenzako anadrive kitamboTupe mrejesho mkuu
Mrejesho kama ulitooooototoo vizuriUnataka mrejesho wa nini?Mwenzako anadrive kitambo
Make money 💰