Nichukue gari ipi kati ya Mark X na Brevis

Usithubutu kununua Brevis,hizo gari hua ni tatizo kubwa sana kama la Nissan Xtrail...yani Brevis inaweza kua inachemsha tu na umeitoa showroom jana au juzi,mala imepinda Cylinder head,yani ile gari sijui walikosea wapi
Mbona sie tumekaa nako miaka 8 hailijasumbua kitu na linaenda msafa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa km hizo uliiuza kwa bei gani
 
Wakuu,
Naomba mtu mwenye uzoefu na mark 2 grand gx 110 kwenye ulaji wa mafuta na uimarawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…