Nichukue gari ipi?

Nipo upcountry then nina family ya two kids
Sasa unaweka passo ya nini hapo?
Brevis kama pesa ya kuunga unga mafuta utalaza watoto njaa au utaishia kuipaki kama shoo nyumbani.
 
Mnaosema Voltz ni gari nzuri mnatumia vigezo gani?!?! Maana Toyota walishaacha kuyatengeneza mwanzoni mwa miaka ya 2000!!!


Anyway, according to Kidukulilo hayo sio magari, ni takataka flani hivi
Kwani passo bado zinatengenezwà?
 
Passo sio gari voltz oldsana brevis sare sana tafuta fuga
 
bahati mbaya sana wooote wanakushauri wana wivu......ni watu wanaootea wenzao umaskini !unamshaurije mwenzako anunue PASSO AU VITZ wakati hela yake inamruhusu kununua Harrier?
Swala la mafuta/petrol ni wazo la kimasikini tu ....Harrier ni tshs.20m ....petrol full tank ni tsh.ngapi?
 
Lakini kumbuka milioni 20 unalipa once....
Full tank ni swala life time mpaka gari liishe au uliuze..

Pia kuangalia running costs za gari ni muhimu haswa kwa sisi vijana wengi ambao ndiyo tunaanza maisha..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo kiduku lazima ashikwe na mshipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…