Nichukue hatua gani hapa?

Nichukue hatua gani hapa?

huyo mpwa anatamaa sana kwa hiyo wewe mpe live iliajue kama wewe unajua
 
huyu demu kesha kutest na umeingia mkenge utarajie kusumbuliwa mpaka kupigwa chini si kitambo.Usimwamini mwanamke wa umri huo hata siku moja utariai wewe
 
Hakuna haja ya kuwaeleza ndgu. Wewe mwenyewe unauwezo wa kumweleza. Mkalishe chini mpige somo, nadhani atakuelewa tu.
 
Back
Top Bottom