Nzenzu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 858 Reaction score 164 Sep 16, 2011 #41 mpe ukweli usiogope,haina haja ya ugomvi
M Mwanaweja JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 3,575 Reaction score 526 Sep 17, 2011 #42 huyo mpwa anatamaa sana kwa hiyo wewe mpe live iliajue kama wewe unajua
K Kidzude JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 4,423 Reaction score 1,364 Sep 17, 2011 #43 huyu demu kesha kutest na umeingia mkenge utarajie kusumbuliwa mpaka kupigwa chini si kitambo.Usimwamini mwanamke wa umri huo hata siku moja utariai wewe
huyu demu kesha kutest na umeingia mkenge utarajie kusumbuliwa mpaka kupigwa chini si kitambo.Usimwamini mwanamke wa umri huo hata siku moja utariai wewe
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,602 Reaction score 5,809 Sep 17, 2011 #44 Hakuna haja ya kuwaeleza ndgu. Wewe mwenyewe unauwezo wa kumweleza. Mkalishe chini mpige somo, nadhani atakuelewa tu.
Hakuna haja ya kuwaeleza ndgu. Wewe mwenyewe unauwezo wa kumweleza. Mkalishe chini mpige somo, nadhani atakuelewa tu.