MAMESHO
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 1,432
- 1,738
Ndio mkuu imewahi kunipata kwenye mipapaiAsante Sana.. Je ulishawahi patwa na hiyo changamoto kwako ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu imewahi kunipata kwenye mipapaiAsante Sana.. Je ulishawahi patwa na hiyo changamoto kwako ww
balconygardenweb.com
We acha ndugu yangu hata sijui nilie tu mana mchicha wangu mwengine umekuwa mkubwa ila bei sokoni hailipi kabisa mchicha kichenga 50 Mia moja hadi 150 kwa jumla. Moyo umekufa ganzi mboga zimekuwa nyingi masokoni bei imechafuka markets saturation.Kilimo acheni tu, ni very stressful