Nichukue ipi kati ya Vitz RS New Model 2005 au Runx 2003?

Nichukue ipi kati ya Vitz RS New Model 2005 au Runx 2003?

AbrahMore

Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
13
Reaction score
5
Wakuu nichukue ipi kati ya gari hizo mbili naombeni ushauri please.

1596454904958.png

Vitz RS New Model

1596455066445.png

Runx 2003

 
Naona vitz wameamua kuja kivingine, waliokuwa wanaiponda nawaona wanaikimbilia sio muda
 
Tangu mwaka gani hapa kwetu?? Sio maarufu sana basi
Mkuu labda kama upo kwenye dunia ya peke yako, hiyo vitz ni ya muda mref tu mpaka watu washazichoka wanaziuza kwa bei chee kabisa
 
Back
Top Bottom