Diplomat Niwe
JF-Expert Member
- Apr 22, 2014
- 231
- 215
Binafsi ni mwanachuo cha utabibu (clinical officer) mwaka wa tatu, naomba ushauri wenu ni kipi bora nichukulie degree kati ya mental health and rehabilitation na medical doctor(MD)? baada ya kumaliza masomo yangu mwaka huu!!
NB: Matusi na kejeli hazitasaidia kunijenga!!!!
SHUKRAN
Ungechukua tu shahada ya kwanza ya ufisadi na kuchekacheka.
Md ni ndefu na huko mwisho kipato chake hakiringani kabisa na time spent. Ila nionavyo mimi ukisomea sonography na radiology ujue kupiga ultrasound,ECG,echo na X-ray utakua very marketable hada private institution sababu dispensary na med centers nyingi wanahitaji. So ukiwa co mtaalam wa diagnostics hata ww mwenyewe wawe za jiajiri in the future. Lakini yote hutegemea mipango yako.
Mental health and rehabilition ina soko sana aise.
Ungechukua tu shahada ya kwanza ya ufisadi na kuchekacheka.