Nichukue kozi gani nikimaliza clinical officer ?

Nichukue kozi gani nikimaliza clinical officer ?

Diplomat Niwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
231
Reaction score
215
Binafsi ni mwanachuo cha utabibu (clinical officer) mwaka wa tatu, naomba ushauri wenu ni kipi bora nichukulie degree kati ya mental health and rehabilitation na medical doctor(MD)? baada ya kumaliza masomo yangu mwaka huu!!

NB: Matusi na kejeli hazitasaidia kunijenga!!!!

SHUKRAN
 
Chukua mental health and rehabilitation, utakuwa na option nzuri na muda mfupi nazani, ila MD sizani. Kikubwa ukshamaliza fanya kazi angalau miaka miwili najaribu kufanya kazi ktk hospital angalau ya wilaya hata mwezi mmoja kwa kujitolea upate picha halisi kabla haujaenda ktk zahanati level
 
Md ni ndefu na huko mwisho kipato chake hakiringani kabisa na time spent. Ila nionavyo mimi ukisomea sonography na radiology ujue kupiga ultrasound,ECG,echo na X-ray utakua very marketable hada private institution sababu dispensary na med centers nyingi wanahitaji. So ukiwa co mtaalam wa diagnostics hata ww mwenyewe wawe za jiajiri in the future. Lakini yote hutegemea mipango yako.
 
Ungechukua tu shahada ya kwanza ya ufisadi na kuchekacheka.
 
Md ni ndefu na huko mwisho kipato chake hakiringani kabisa na time spent. Ila nionavyo mimi ukisomea sonography na radiology ujue kupiga ultrasound,ECG,echo na X-ray utakua very marketable hada private institution sababu dispensary na med centers nyingi wanahitaji. So ukiwa co mtaalam wa diagnostics hata ww mwenyewe wawe za jiajiri in the future. Lakini yote hutegemea mipango yako.

Nipo muhimbili napiga hiyo kitu ubaya ni kwamba degree ake bongo haipo ipo uganda south africa na kwingne hapa bongo ni bugando na muhimbili aghakani wanampango wa kuanzisha degree cjui ni mwaka gani lakini nikozi moja ya bata sana na ina pesa na wapo wachache just imagine upo unasoma lakini unapata vijiwe kama vitatu vya kufanya kazi
 
Mental health and rehabilition ina soko sana aise.
 
Mental health and rehabilition ina soko sana aise.

asante kwa ushauri maana MD naona majority ndo kimbilio lakin hiyo nyingine kwa TZ nadhan ni sehemu moja tu pale SEKOMU wanaitoa so itakuwa marketable sana!!!HOPE
 
Miaka minne ila niwenye diproma ya mambo ya afya tu kwa form 6 hamna.
 
Back
Top Bottom