Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

TONY MTAKAYOTE

Senior Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
150
Reaction score
69
Nimemaliza kidato cha nne hapo mwaka jana.
Ninapenda sana kuchukua PCM, But kwa uelewa wangu mdogo na maoni ya baadhi ya watu inasemekana kwamba PCM Haina ajira serikalini unless kwenye makampuni binafsi (ambako kuna nepotism)... Kama kuna ajira zaidi ya hizo nijulishe tafadhali.
HILI LINANIKATISHA TAMAA SANA NA KUNIFANYA NIHISI KWAMBA NIKISOMA PCM SIPATI AJIRA TOFAUTI NA UALIMU.
Kwa upande wa PCB, INASEMEKANA kuwa kuna ajira za moja kwa moja serikalini ama kwa kujiajili mwenyewe. Na mimi ninasoma ili nipate ajira niweze kujitegemea.
MAONI YAKO NDIYO YATAKAYONIFANYA NIWE NA MAAMUZI MAZURI.
Natanguliza shukrani zangu kwa mtakao nishauri...
Karibuni kwa ushauri....
 
Hapo kwenye red pana husika,japo binafsi nilisoma EGM.

Ngoja walio soma hizo kozi waje hapa watupe vitu.
 
Nani kakuambia haina ajira?
Tukirudi kwenye mada.PCM ina wigo mpana zaidi wa kusomea fani nyingi kuliko PCB.Unaweza somea engineering yoyote,Computer Science au masomo ya biashara kwa urahisi zaidi na mengineyo.Kwa ushauri wangu soma PCM.
 
Mie nadhani...angalia uwezo wako..je uko fresh biology ama maths...halafu angalia mapenzi yako...je wataka kazi za kujitolea..ama yo money minded? Halafu utajua usome nini kati ya hizo mbili
 
Nimemaliza kidato cha nne hapo mwaka jana.
Ninapenda sana kuchukua PCM, But kwa uelewa wangu mdogo na maoni ya baadhi ya watu inasemekana kwamba PCM Haina ajira serikalini unless kwenye makampuni binafsi (ambako kuna nepotism)... Kama kuna ajira zaidi ya hizo nijulishe tafadhali.
HILI LINANIKATISHA TAMAA SANA NA KUNIFANYA NIHISI KWAMBA NIKISOMA PCM SIPATI AJIRA TOFAUTI NA UALIMU.
Kwa upande wa PCB, INASEMEKANA kuwa kuna ajira za moja kwa moja serikalini ama kwa kujiajili mwenyewe. Na mimi ninasoma ili nipate ajira niweze kujitegemea.
MAONI YAKO NDIYO YATAKAYONIFANYA NIWE NA MAAMUZI MAZURI.
Natanguliza shukrani zangu kwa mtakao nishauri...
Karibuni kwa ushauri....

Nakushauri usisome ili upate ajira au pesa. Soma ujue vitu na upanue uwezo wako wa kufikiri. Kitendo cha kusoma ili upate ajira, inaweza ikakutesa baadae. Jitahidi kusoma ujue vitu na maswala. Ajira au Kujiajiri kutakuja tu. Cha msingi angalia ni kitu gani unakipenda, na kitakufaa katika mambo yako. Na hakikisha unakisoma na kukielewa vizuri. PCM na PCB zote ni combinations nzuri.. Angalia uwezo wako uko katika kipi..
 
PCM au PCB haimpi mtu ajira bali ni njia ya kupita kuelekea profession uitakayo
kama wataka kuwa engineer basi Advanced Maths,Physics,Chemistry zinakuhusu (Chemical,Electrical,Civil engineering hizi zote zinategemea MAths na Physics kwa sana na Chemistry pia.)
Ili uwe daktari kusomea MD au Pharmacy basi huna budi kusoma PCB
Ukimaliza chuo na ukafanya vizuri kazi utapata mtu hawezi kukunyima kazi kisa we si ndugu yake na anaona unajua
 
Ndiyo maana tuna wasomi lakini hakuna output yoyote kwenye taaluma zao.

What's your dream young man??

Soma hata HKL kama ndiyo itakufikisha kwenye ndoto zako..otherwise utakuwa doctor lakini not self motivated koz ulisoma tu upate ajira kirahisi upate pesa not what u really wanted to do!

Think again why you want to study either of those!!!!
 
mdogo wangu nakutaarifu kwamba huku Serikalini kwa muundo wa sasa wa kada za utumishi hakuna ajira au nafasi ya kazi ambazo vigezo vyake ni kumaliza PCM au PCB, Huku Serikalini ajira ambazo zipo kwa waliomaliza Kidato cha 6 nyingi zipo kwenye Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama napo hawanglii kama umesoma PCM au PCB tunachuja kwa kuangalia ufaulu wako. Kwenye Idara nyingine za Serikali Form 6 leaver anaweza kuajiriwa kama Muhudumu wa Ofisi. Ajira nyingine kama za udereva,ulinzi, utunzaji kumbukumbu pamoja na hiyo form 4 au 6 yako ili kuajiriwa inakubidi uakazisomee.Kwa kifupi mdogo wangu nakushauri soma kombination ambayo unaiweza na itakayokuwezesha ufanye vizuri kwenye mitiani yako ya mwisho upate alama zitakazokuwezesha kuchaguliwa kujiunga na elimu ya chuo kikuu.Pia nakutaarifu kwamba elimu ya kidato cha 6 uwe na PCB, PCM or whatever combination unakuwa hauna professional yoyote, ni bora mtu aliyemaliza form 4 akaenda FTC au akaenda kufanya Diploma ya Nursing anakuwa na proffesiona kulipo form 6 leaver.Mwisho nakushauri soma masomo unayoyapenda na unayoyaweza ili uweze kufaulu na kuendelea na Elimu ya juu zaidi, hapo utafanikiwa kimaisha.
 
uwezo wako upo na UNAUHAKIKa UKISOMA PCB UTAFAULU? mdogo wangu maisha sio kuajiriwa mie biafsi nimesoma pcm nilikuwa naipenda engineering nimepata lakin nikaja kugundua kwamba maisha ni kujiajili ....komaa kwanza angalia matokeo yako ndo utajua ajira yako ni nn
 
Kijana achana na nichukuwe pcm au whatever angalia una kipaji gani,then go ahead.vinginevyo utakuwa unapoteza muda bure mdogo wangu.

maisha ni malengo

Kama unataka kutoka kimaisha soma EGM,HGE au ECA.
 
Nimemaliza kidato cha nne hapo mwaka jana.
Ninapenda sana kuchukua PCM, But kwa uelewa wangu mdogo na maoni ya baadhi ya watu inasemekana kwamba PCM Haina ajira serikalini unless kwenye makampuni binafsi (ambako kuna nepotism)... Kama kuna ajira zaidi ya hizo nijulishe tafadhali.
HILI LINANIKATISHA TAMAA SANA NA KUNIFANYA NIHISI KWAMBA NIKISOMA PCM SIPATI AJIRA TOFAUTI NA UALIMU.
Kwa upande wa PCB, INASEMEKANA kuwa kuna ajira za moja kwa moja serikalini ama kwa kujiajili mwenyewe. Na mimi ninasoma ili nipate ajira niweze kujitegemea.
MAONI YAKO NDIYO YATAKAYONIFANYA NIWE NA MAAMUZI MAZURI.
Natanguliza shukrani zangu kwa mtakao nishauri...
Karibuni kwa ushauri....

Acha uoga!!
Mimi nimesoma PCM, nimesoma biashara chuo kikuu
Na nimewahi kufanya kazi kwenye private sector..
tena kazi za kutafuta mwenyewe...
halafu acha kufikiria kusoma ili uwe mtumwa wa mtu mwingine...
Kuna ma-engineer wamejiajiri na wanafanya kazi nzuri sana
Acha uoga!!!
 
PCM inatoa lakini itabidi ukomae sana otherwise make ur passion ur profession
 
Back
Top Bottom