Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe gari zenyewe mbaya iviView attachment 1883151
Sasa si Uongeze hela ukachukua gari za kiume, hela huna unaaza kuchambua. gari ya kiume ni lori tu.sema IST nazo watu wananiambia et za kike[emoji38]
Mmmh uko serious au ndo makengeza?Chukua nissan march, Hutojutia kamwe. Unazipita vieite kama zimesimama vile.
Kalaghabhaho, hapo 3M hadi 4 inaingnia mfuko wa shati wa dalali.kuagiza nimeambiwa 15-16
kumbe gari zenyewe mbaya iviView attachment 1883151
Kalaghabhaho, hapo 3M hadi 4 inaingnia mfuko wa shati wa dalali.
Fanta hata upembuzi yakinifu kidogo, ingia be forward, SBT ucheki bei.
Madalali ni wangese sana mkuu trust me 12 hadi 12.5 utapata premio
nimeangalia mtandaoni premio ya bei ndogo ni $3044 ...ambayo mwisho wa siku na ushuru ni m15....Dalali akiku agizia gari akikosa sana 1m ipo mfukoni na bado akuchagulie gari mbaya. Ukiagza mwenyew ni chip sana, clearing makampuni kibao anakutolea unasubir getin gari yako yani hakuna kumwachia gari agent, [emoji23][emoji23]
Nenda Autocom Japan,wana gari nzuri pia wako cheap.nimeangalia mtandaoni premio ya bei ndogo ni $3044 ...ambayo mwisho wa siku na ushuru ni m15....
nimeangalia mtandaoni premio ya bei ndogo ni $3044 ...ambayo mwisho wa siku na ushuru ni m15....
Bora useme we tu mkuu...Hujui kibargain? Nmeagza dualis kali sana nikapewa discount ya $620
Bora useme we tu mkuu...
Kwenye zile sites ni kama dukani tu, inabidi upige danadana kidogo na seller atashusha bei