EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Bora umenisanua mapema, haya nichukue nini?Sound bar home theatre zimeanza pitwa na muda
Woofer za wahuni kama nyie sie wababu hatuzitakiKama unatukoromea mkuu, kwanza kwanini tupotezee bufa?
Brand gani ni nzuri kwa sauti murua na mdundo wa kutosha?Sound bar mkuu
Brand gani ipo poa zaidi kwa matokeo bora?Sound Bar naona ndio zinatrend
Sony iko vizuri Watts 1000Brand gani ni nzuri kwa sauti murua na mdundo wa kutosha?
Usipoteze pesa: chukua ya kodtech au sunda
Bajeti yake ikoje? mpya au mtumba ndio poa?Sony iko vizuri Watts 1000
Brand na quality ya hii kitu ni second to none, tatizo ni beiiiii...Kam mfuko haina shida chukua sound bar ya JBL 9.1. Kwa sasa hivi nadhani bei imeshuka itakua kati ya 1.5m hadi 2m. Hii ni watts 830
Ama uagize JBL 1300, AMA 11.1.4 watts 1170 ambayo ndio latest. Hapo kwa sasa nadhani ni kati ya 4m ama 5m maana ni dollar 1500 ukiweka na kodi yake bongo itafika 5m
duuuuh kwa iyo bei sisi makapuku tutaweza kweliKam mfuko haina shida chukua sound bar ya JBL 9.1. Kwa sasa hivi nadhani bei imeshuka itakua kati ya 1.5m hadi 2m. Hii ni watts 830
Ama uagize JBL 1300, AMA 11.1.4 watts 1170 ambayo ndio latest. Hapo kwa sasa nadhani ni kati ya 4m ama 5m maana ni dollar 1500 ukiweka na kodi yake bongo itafika 5m
Sony HTR3 600watts, mm nilichukua kwa laki 5 lkn bongo kwenye laki 7 au 8 uko ,ukikonect na Tv Movie kama uko jumba la cinema.Kampuni gani itafaa zaidi kwa.matokeo bora zaidi ya mdundo.
Subwoofer achana nazo.
Njoo na estimated price.
Radio ya Sony nimewaachia family Dar
Tuma kapicha aiseeSony HTR3 600watts, mm nilichukua kwa laki 5 lkn bongo kwenye laki 7 au 8 uko ,ukikonect na Tv Movie kama uko jumba la cinema.