Nichukue Soundbar au home theatre ya kampuni gani?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Kampuni gani itafaa zaidi kwa.matokeo bora zaidi ya mdundo.

Subwoofer achana nazo.

Njoo na estimated price.

Radio ya Sony nimewaachia family Dar
 
Kam mfuko haina shida chukua sound bar ya JBL 9.1. Kwa sasa hivi nadhani bei imeshuka itakua kati ya 1.5m hadi 2m. Hii ni watts 830

Ama uagize JBL 1300, AMA 11.1.4 watts 1170 ambayo ndio latest. Hapo kwa sasa nadhani ni kati ya 4m ama 5m maana ni dollar 1500 ukiweka na kodi yake bongo itafika 5m
 
Brand na quality ya hii kitu ni second to none, tatizo ni beiiiii...
 
Kam mfuko haina shida chukua sound bar ya JBL 9.1. Kwa sasa hivi nadhani bei imeshuka itakua kati ya 1.5m hadi 2m. Hii ni watts 830

Ama uagize JBL 1300, AMA 11.1.4 watts 1170 ambayo ndio latest. Hapo kwa sasa nadhani ni kati ya 4m ama 5m maana ni dollar 1500 ukiweka na kodi yake bongo itafika 5m
duuuuh kwa iyo bei sisi makapuku tutaweza kweli
 
Back
Top Bottom