EXODUS ZION
Member
- Apr 17, 2024
- 95
- 149
Ndugu wadau habari za muda huu. Ukifika mwanza sekour tour wenyewe wanakuita seketule 😂 utakutana na Halmashauri ya jiji la mwanza wale jamaa kwa kweli wako vizuri sana.
Wanafanya kazi ipasavyo sio kazi tu wanamshikamano, wananguvu, wachapakazi ani kila kitengo pale wako vizuri sana hasa kitengo cha biashara wanajitahidi sana kufanya kazi. Ukiachana na madhaifu mbalimbali sababu kila kizuri hakikosi kasoro aisee mi nawapongeza sana
Mdau siku ukienda mwanza jaribu uende utembee tembee pale Halmashauri ya jiji la mwanza