EXODUS ZION
Member
- Apr 17, 2024
- 95
- 149
Umeongea general sana,kuwa specific walikufanyia nn mpaka uone wanafanya kaz vzr, kumbuka we ni mteja ambaye hushindi nao,unless ni mfanyakazi au wamekutuma.Ndugu wadau habari za muda huu. Ukifika mwanza sekour tour wenyewe wanakuita seketule π utakutana na Halmashauri ya jiji la mwanza wale jamaa kwa kweli wako vizuri sana.
Wanafanya kazi ipasavyo sio kazi tu wanamshikamano, wananguvu, wachapakazi ani kila kitengo pale wako vizuri sana hasa kitengo cha biashara wanajitahidi sana kufanya kazi. Ukiachana na madhaifu mbalimbali sababu kila kizuri hakikosi kasoro aisee mi nawapongeza sana
Mdau siku ukienda mwanza jaribu uende utembee tembee pale Halmashauri ya jiji la mwanza
Wewe mwenyewe umekosea kuandika halafu unawakosoa watu wa Mwanza.Ndugu wadau habari za muda huu. Ukifika mwanza sekour tour wenyewe wanakuita seketule [emoji23] utakutana na Halmashauri ya jiji la mwanza wale jamaa kwa kweli wako vizuri sana.
Wanafanya kazi ipasavyo sio kazi tu wanamshikamano, wananguvu, wachapakazi ani kila kitengo pale wako vizuri sana hasa kitengo cha biashara wanajitahidi sana kufanya kazi. Ukiachana na madhaifu mbalimbali sababu kila kizuri hakikosi kasoro aisee mi nawapongeza sana
Mdau siku ukienda mwanza jaribu uende utembee tembee pale Halmashauri ya jiji la mwanza
Nasikitika kwamba moja ya miji yenye ujenzi holela kabisa Tanzania ni Mwanza. Kila nikipita nikipita Mwanza na jiuliza kama kuna viongozi, maafisa mipango mji na maafisa ardhi! Imekuaje vilima vizuri vya Mwanza wananchi wameachiwa kujenga nyumba za mabanda??Ndugu wadau habari za muda huu. Ukifika mwanza sekour tour wenyewe wanakuita seketule π utakutana na Halmashauri ya jiji la mwanza wale jamaa kwa kweli wako vizuri sana.