Nick Cannon Lists Famous Women He's Slept With

Nick Cannon Lists Famous Women He's Slept With

Nipo binamu ila kuanzia ijumaa iliyopita nilikuwa mapumziko brazil kwa siku 2 ndio maana nilipotea.

Uko watu wanashinda beach sijui kazi wanafanya saa ngap?

Beach watu kibao kuanzia asubuh

Safi binamu we endelea kula ujana, life lenyew fupi, kwa hyo na wewe ukawa upo beach 24 hours
 
Safi binamu we endelea kula ujana, life lenyew fupi, kwa hyo na wewe ukawa upo beach 24 hours

Mimi nilikuwa beach 24hrs na ata nililala hapo. Uko kila mtu na kichupi cha kubana wanawake kwa wanaume.

Ni mwendo wa bukta ndefu. Kweli Tanzania kuna njaa na dhiki. Brazil watu wanaenjoy 24 hrs na vichupi.

Sehemu nyingine kwa marekan watu wanaopenda sana kuenjoy beach ni Miami
 
Back
Top Bottom