Nick Mbishi & One 'The incredible' mpaka wafe?

Nick Mbishi & One 'The incredible' mpaka wafe?

Hao Niki mbishi na one the incredible wanapoteza muda na hawatafika popote wasipozingatia ushauri uliotolewa na kende hapo juu
 
Sema kuwasikiliza wale jamaa lazima uwe na kichwa kizuri wenye vichwa vyepesi ndo tunaishia kuskiza Nana na Cheketua..
 
Sema kuwasikiliza wale jamaa lazima uwe na kichwa kizuri wenye vichwa vyepesi ndo tunaishia kuskiza Nana na Cheketua..

unaowaita 'wenye vichwa vyepesi' ndio wengi sasa, kama unataka kufanya biashara ya mziki inabidi ufocus kwa hao, kama unataka kuwafurahisha 'majiniaz' wachache basi endelea, but usilalamike ukikosa promo. Maisha yenyewe magumu stress nyingi, halafu unampatia na mziki mgumu aanze kusumbua kichwa kung'amua punch inamaanisha nini mtaelewana kweli hapo? Watu wanataka vitu vyepesi vyenye ladha waburudike wapunguze stress..., mfano mi wimbo wa Joh 'Nusunusu' hata sielewi kaongelea nini mule ndani na wala sitaki kujua, ila ukiniwekea kwenye woofer lazima niamke, flow nzuri, chorus nzuri, beat nzuri, hata kama huelewi lugha utaupenda tu!
 
"Usiwachukie waliokukacha, ni ulimbukeni na ndoto zao za alinacha" - Roho 7

"Hata niwe kipofu ntaandika kila kitu, MaRapper wabovu ndo huwa wanasifika kila siku" - Songa

"Wanataka niache ngumu nibane pua, ninyoe kiduku ndo niwe msanii wanaemtambua" - One

"Na speak truth, kwamba mwamba wakaskazini ni Fid Q" - One

"Najua mnajua kuwa najua, ila hamuwezi nichukua kwenye tuzo mnazochukua msiojua" - Azma

"Wanasema siskiki kwenye redio, kwanini ?
nawajibu kaulize wenye redio" - Songa

Tamaduni Muzik it's all about addiction.
Tanzanians mind(s) has been brainwashed by nonsense music, that's why, it will take a long to reinvent it.
 
Back
Top Bottom