Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Jana siku ya jumamosi Nick Minaj amekamatwa Uholanzi kwa kuwa na madawa ya kulevya, baada ya kukaguliwa na kupekuliwa alikuwatwa namadawa hayo wanaita WEED ambapo yalionekana ni kwaajili y matumizi binafsi na hivyo kupigwa faini lakini akawa amechelewa tamasha lake London na hivyo tamasha kuahirishwa.
“Oh, kwa hiyo niko chini ya ulinzi?” Minah aliuliza, huku maafisa wengi wakimtaka aache kurekodi filamu.
Katika video ya pili, Minaj alionekana akiwa ameketi ndani ya gari wakati akizungumza na mwanamume aliyevalia sare kuhusu mipango ya kupitia mifuko yake yote.
"Kwa nini nyie hamkuitafuta kabla ya kupanda ndege?" Aliuliza.
Mwanamume huyo alishtuka na kusema kwamba afisa wa awali hakuamini kuwa mwigizaji huyo wa rap hakuwa amebeba dawa za kulevya - na alikasirishwa kuwa alikuwa amempiga picha