Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Kwa hiyo wewe na Nick 2,mnataka kumfundisha Mungu namna ya kuandika vitabu vyake?
watu hawaelewi kwamba biblia ni kitabu kilichoandikwa na bianadamu ila kwa uwezo wa mwnyezi mungu na alichokua nakaitaka ni kuonyesha watu jinsi walivoishi maisha yao na mtu specific amabaye alihitaji mjifunze kutoka kwao sasa kama ingeandikwa na kwamba na bibi zake na ma wfi na dada za hao kina yosefu na waliko enda kuolewa isingekua bibble ingekua na story book mwisho wa siku tujifunze kupitia hao na pia mbon kuna manabii wa kike , wanawake wafalme waliokua na utajiri na hekima, na wanawake waliowezesha watu kulifikisha neno la mungu......
 
Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .

Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .

Huko mbele atakuja simulia tu
Ngoja tumuundie mkakati mkuu ha ha ha ha shida yake atakua mgeni wa wanawake anadhani hawezi kupigiwa ila akumbuke yule demu hakumkuta bikra
 
na pia hata hao wanaume hawakuelezewa wote mfano kina farao, stori yao ilipoisha haukuwasikia tena
 
Ngoja tumuundie mkakati mkuu ha ha ha ha shida yake atakua mgeni wa wanawake anadhani hawezi kupigiwa ila akumbuke yule demu hakumkuta bikra
Ndio hapo sasa demu hajamkuta bikra ila anajitambaa mpaka anaanza matusi kwa vitu ambavyo ni taboo kwa jamii yetu kukashifu .

Vi umarufu na visenti kadhaa visikufanye uwe "kifutu"
 
Ndio hapo sasa demu hajamkuta bikra ila anajitambaa mpaka anaanza matusi kwa vitu ambavyo ni taboo kwa jamii yetu kukashifu .

Vi umarufu na visenti kadhaa visikufanye uwe "kifutu"
ha ha ha ha ha a umenichekesha sana iyo kifutu makonda ni mshkaji wangu nikimuonaga nacheka sana
 
Yuko sahihi kwenye point ipi?
Kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa hakuwa mwanaume?
Au biblia iliandikwa na wanaume?
Anyway: ingewekwa hapa nukuu kamili ingekuwa rahisi kujadili, maana unaposema binadamu wa kwanza siyo mwanaume, inabidi tupate maelezo ya wa kwanza ni nani na uumbaji wake ulikuwaje.
Nina wasiwasi jamaa atakuwa alishasoma soma issues za Holy Grail ila kashindwa kuifafanua vizuri.
 
kweli jamaa hakuongea kitu ambacho hauji maana yake kama yeye anajua hivo kwanini anataka amuoe na utasikia ataenda kanisani na atasoma na kufata kitabu kile kile atakacho kikosoa mpuuzi na hana akili....na pia tukija katika hali ya kawaida mwanaume ni mwanaume yeye aoe halafu ashindwe kumhudumia kw mahitaji anayoyahitaji mwanamke wake uone kama hata enda kumvulia mwanaume mwingine au akose pesa
 
the nigga is fool
 
Unajua ukitoka familia ambayo haijasoma ukasoma unageneralize kwamba msomi wewe tu
 
Nikki wa Pili alisema imeandikwa kuwa mwanaume aliumbwa kwanza na mwanamke akatolewa kwenye ubavu wake kwa sababu ni wanaume ndio waliandika Bible hivyo wakajiweka juu


Binadamu kuumbwa au kutokuumbwa ni suala la imani, na imani sio fact maana kuna wanaoamini tofauti, wengine hawaamini kabisa, na wana sababu zao pia. Hivyo huwezi kusema Nikki yupo sahihi ama sio sahii kuhusu mwanadamu wa kwanza

Ila yupo sahihi kuwa Biblia iliandikwa na wanaume

Biblia sio kitabu kilichoshuka Mbinguni, ni kitabu kilichoandikwa na wanadamu, na hao wanadamu ni wanaume au ni wanaume almost wote.

Biblia ndio ilikuwa kama katiba miaka hiyo, manabii wote walikuwa wanaume na waandishi walikuwa wanaume pia.

Miaka hiyo mwanamke alikuwa mtu wa kutunza familia tu, japo kuna exception chache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…