Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Kwa hiyo wewe na Nick 2,mnataka kumfundisha Mungu namna ya kuandika vitabu vyake?
watu hawaelewi kwamba biblia ni kitabu kilichoandikwa na bianadamu ila kwa uwezo wa mwnyezi mungu na alichokua nakaitaka ni kuonyesha watu jinsi walivoishi maisha yao na mtu specific amabaye alihitaji mjifunze kutoka kwao sasa kama ingeandikwa na kwamba na bibi zake na ma wfi na dada za hao kina yosefu na waliko enda kuolewa isingekua bibble ingekua na story book mwisho wa siku tujifunze kupitia hao na pia mbon kuna manabii wa kike , wanawake wafalme waliokua na utajiri na hekima, na wanawake waliowezesha watu kulifikisha neno la mungu......
 
Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .

Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .

Huko mbele atakuja simulia tu
Ngoja tumuundie mkakati mkuu ha ha ha ha shida yake atakua mgeni wa wanawake anadhani hawezi kupigiwa ila akumbuke yule demu hakumkuta bikra
 
watu hawaelewi kwamba biblia ni kitabu kilichoandikwa na bianadamu ila kwa uwezo wa mwnyezi mungu na alichokua nakaitaka ni kuonyesha watu jinsi walivoishi maisha yao na mtu specific amabaye alihitaji mjifunze kutoka kwao sasa kama ingeandikwa na kwamba na bibi zake na ma wfi na dada za hao kina yosefu na waliko enda kuolewa isingekua bibble ingekua na story book mwisho wa siku tujifunze kupitia hao na pia mbon kuna manabii wa kike , wanawake wafalme waliokua na utajiri na hekima, na wanawake waliowezesha watu kulifikisha neno la mungu......
na pia hata hao wanaume hawakuelezewa wote mfano kina farao, stori yao ilipoisha haukuwasikia tena
 
Ngoja tumuundie mkakati mkuu ha ha ha ha shida yake atakua mgeni wa wanawake anadhani hawezi kupigiwa ila akumbuke yule demu hakumkuta bikra
Ndio hapo sasa demu hajamkuta bikra ila anajitambaa mpaka anaanza matusi kwa vitu ambavyo ni taboo kwa jamii yetu kukashifu .

Vi umarufu na visenti kadhaa visikufanye uwe "kifutu"
 
Nikki wa Pili yupo sahihi, sema ni ushamba wa Watanzania tu kuhusu hizi Dini na vitabu vyake
Wanafikiri vitabu vya Dini vimeshushwa mbinguni kumbe tu viliandikwa na wanadamu wa kipindi hicho katika hatua za kujaribu kuleta ustaarabu na haki Duniani
Leo hii ukikosoa badala ya kukujibu kwa hoja wanakushambulia mara unakufuru, unajiona umesoma n.k
Yuko sahihi kwenye point ipi?
Kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa hakuwa mwanaume?
Au biblia iliandikwa na wanaume?
Anyway: ingewekwa hapa nukuu kamili ingekuwa rahisi kujadili, maana unaposema binadamu wa kwanza siyo mwanaume, inabidi tupate maelezo ya wa kwanza ni nani na uumbaji wake ulikuwaje.
Nina wasiwasi jamaa atakuwa alishasoma soma issues za Holy Grail ila kashindwa kuifafanua vizuri.
 
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.

Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.

Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.

Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.

Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.

Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
kweli jamaa hakuongea kitu ambacho hauji maana yake kama yeye anajua hivo kwanini anataka amuoe na utasikia ataenda kanisani na atasoma na kufata kitabu kile kile atakacho kikosoa mpuuzi na hana akili....na pia tukija katika hali ya kawaida mwanaume ni mwanaume yeye aoe halafu ashindwe kumhudumia kw mahitaji anayoyahitaji mwanamke wake uone kama hata enda kumvulia mwanaume mwingine au akose pesa
 
Jamaa mpumbavu Sana yule,na ujue mpumbavu anawafuasi katika jambo la kipumbavu soma hizi comments ,utaona, leo hata akianzisha jambo lolote,hauwezi kosa wafuasi, mkumbuke hata Nabii Tito wa Shetani, alikuwa na wafuasi, kwa hata hili na Niki wa pili utakuwa na wafuasi wake.Leo nabii Tito ametoka na kukiri yakwamba alikuwa Chizi, sasa imagine, hivyo hata hapa usoshangae watu wakimuunga mkono Nick2
the nigga is fool
 
Unajua ukitoka familia ambayo haijasoma ukasoma unageneralize kwamba msomi wewe tu
 
.
Screenshot_20190516-114153_1558001206352.jpeg
 
Yuko sahihi kwenye point ipi?

Kwamba binadamu wa kwanza kuumbwa hakuwa mwanaume?

Au biblia ilaindikwa na wanaume?

Anyway: ingewekwa hapa nukuu kamili ingekuwa rahisi kujadili, maana unaposema binadamu wa kwanza siyo mwanaume, inabidi tupate maelezo ya wa kwanza ni nani na uumbaji wake ulikuwaje.

Nina wasiwasi jamaa atakuwa alishasoma soma issues za Holy Grail ila kashindwa kuifafanua vizuri.
Nikki wa Pili alisema imeandikwa kuwa mwanaume aliumbwa kwanza na mwanamke akatolewa kwenye ubavu wake kwa sababu ni wanaume ndio waliandika Bible hivyo wakajiweka juu

Binadamu kuumbwa au kutokuumbwa ni suala la imani, na imani sio fact maana kuna wanaoamini tofauti, wengine hawaamini kabisa, na wana sababu zao pia. Hivyo huwezi kusema Nikki yupo sahihi ama sio sahii kuhusu mwanadamu wa kwanza

Ila yupo sahihi kuwa Biblia iliandikwa na wanaume

Biblia sio kitabu kilichoshuka Mbinguni, ni kitabu kilichoandikwa na wanadamu, na hao wanadamu ni wanaume au ni wanaume almost wote.

Biblia ndio ilikuwa kama katiba miaka hiyo, manabii wote walikuwa wanaume na waandishi walikuwa wanaume pia.

Miaka hiyo mwanamke alikuwa mtu wa kutunza familia tu, japo kuna exception chache
 
Back
Top Bottom