Nick wa Pili bado ana ushamba fulani hivi wa kishule shule

Anadhani iko hivyo ..., hiyo sentence mtu akishaweka nadhani ni mtazamo ambao ni open.

Bahati mbaya kama tulivyosema hill swala la uumbaji limekuwa kama fumbo, hatuwezi kulimaliza.

Now: leo hii ambapo awareness ya haki za mwanamke ziko juu, unadhani waandishi wa leo wangeandika Biblia wangesemaje? (Hapa nimebase kwenye point yako ya jinsi biblia ilivyoandikwa).

And then, kama sivyo vile walivyoandika, ni kipi unadhani ni sahihi?
Kwa sasa hivi, watunga sera na wanasiasa wa magharibi ambao ndio wanao set fashion na mtazamo wa Dunia nzima

Wanam potray mwanamke kama mtu mwenye uwezo ila aliyekandamizwa, kunyimwa haki na kurudiswa nyuma kwa kipindi kirefu

Siku hizi mwanamke anapewa feva nyingi kama kupendelewa kwenye nafasi za taasisi za kitaaluma, kupewa nafasi za Ubunge, udiwani ili kumleta sawa na mwanaume, kuna michezo ya kiume kama soka ambayo inapewa promotion kwa wanawake, yote kwa sababu inaonekana amekandamizwa sana

So Bible ingeandikwa mwanamke ni anatakiwa abebwe sababu system imembagua tangia zamani

Maoni yangu ni kuwa, mwanamke kwa kiasi fulani amekandamizwa na system ila kuna mengine ni yeye tu alivyo na kujaribu kumpandisha juu sana alingane utakuwa haufanyi haki kwa wengine.

So kuna ubaguzi wa kijinsia ambao unatakiwa uondolewe ila umakini unatakiwa pia
 
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.

Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.

Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.

Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.

Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.

Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Huyo ni mvuta Bange aliyefanikiwa kumaliza Elimu ya Chuo Kikuu....

Anajitutumua aonekane Msomi

Siyo kila aliyemaliza Chuo Kikuu ni msomi wengine ni wahudhuriaji tu.[emoji41]
 
Hapo vip!!
Binafsi mimi ni mtu wa Arusha, ila Nick wa pili sijawahi kumkubali kabisa.

Kwanza hatua aliyofikia kuikosoa Biblia kisa Mwanamke, ni kumkosea muumba wake na kuwakosea wakristo wote Duniani.

Nick2,wakati anamvalisha Mchumba wake pete ambapo ni jambo jema kabisa.
Baada ya tukio hilo akasema sio kweli kuwa mwanaume ndio wakwanza kuumba na Mungu ila imeendikwa hivyo kwasababu Bliblia imeendikwa na wanaume.Hivyo eti ni mfumo dume.

Yeye amefanya Wap utafiti akajua yaliandikwa kwenye Bliblia sio kweli, au ameshushiwa kitabu kingine na Mungu inayopinga na Bliblia? Kwa sababu hauwezi unatumia akili za music na banki kupinga Bliblia.

Huyu jamaa binafsi sijawahi kumkubali, huwa namuonaga mshamba fulani hivi,kwa namna alivyo ikosoa Bliblia ni kiwango cha akili ya watoto wa form Two wanao balehe.

Huyu anajionaga smart kuliko Kila mtu..huu ni ushamba, angekuwa angekuwa smart kuliko Kila kitu angegundua Kila kitu ndege, magari, simu n. K...
Nasishangai wakatokea wafuasi wake, kwasababu katika jambo lolote liwe la kipumbavu au la maana, lazima linawafuasi, mfano hata nabii Tito alikuwa na wafuasi kindaki ndani, lakini mwisho wa siku nabii Tito alikuja kuokoka, akakiri upumbavu na Uovu wake, lakini kumbuka katika upumbavu alikuwa na wafuasi.
Na wewe umejuaje kuwa ni upumbavu isijekuwa we uliyeandika ndye mpumbavu
 
Kwa sasa hivi, watunga sera na wanasiasa wa magharibi ambao ndio wanao set fashion na mtazamo wa Dunia nzima
Wanam potray mwanamke kama mtu mwenye uwezo ila aliyekandamizwa, kunyimwa haki na kurudiswa nyuma kwa kipindi kirefu
Siku hizi mwanamke anapewa feva nyingi kama kupendelewa kwenye nafasi za taasisi za kitaaluma, kupewa nafasi za Ubunge, udiwani ili kumleta sawa na mwanaume, kuna michezo ya kiume kama soka ambayo inapewa promotion kwa wanawake, yote kwa sababu inaonekana amekandamizwa sana
So Bible ingeandikwa mwanamke ni anatakiwa abebwe sababu system imembagua tangia zamani
Maoni yangu ni kuwa, mwanamke kwa kiasi fulani amekandamizwa na system ila kuna mengine ni yeye tu alivyo na kujaribu kumpandisha juu sana alingane utakuwa haufanyi haki kwa wengine. So kuna ubaguzi wa kijinsia ambao unatakiwa uondolewe ila umakini unatakiwa pia

Uko so moderate kwenye point yako, hutoi hitimisho kamili.

Naelewa ugumu uliopo kwenye swala la kuondoa ukandamizaji, hasa ukichukulia nature ya kimfumo kwenye uumbaji kati ya mwanamke na mwanaume.

Ukijaribu kulifikiria unakuta kuna baadhi ya taratibu tumejikuta tunazivunja kwa kigezo cha gender balance, kuna favor ambazo mwanamke anapewa kwenye taasisi kama ulivyosema pasipo kuangalia uwezo isipokuwa tu gender.

Sina shida na inapotokea wa kike na wa kiume wakilingana uwezo apewe wa kike, lakini pale ambapo wa kike anapewa huku yuko chini kiuwezo ni tatizo.

Nakumbuka miaka ya Kikwete 2005/2006 kuna kitu kilianzishwa kuwaingiza watoto wa kike kwenye program za Engineering na Science kwa ujumla, wakawa wanachukua grades za chini sana (ilikuwa special entries), miaka ya mwanzoni wakawa wana disco sana, baadae kukawekwa utaratibu wa kuhakikisha hata kama wamepata matokeo ya chini wawe wanaachwa mpaka wamalize.

Hilo lilikuwa ni tatizo kwa upande wangu, kwa sababu umetumia kigezo cha kuwapandisha kwa sababu ya jinsia, hao wanakuja kuhitimu na wanapewa vitengo vya kufanya maamuzi yanayoweza kuathiri mfumo au maisha ya watu, hilo ni tatizo.

Na huu upendeleo ni kampeni za dunia nzima, nadhani kuna kitu kinaweza kufanyika kuweka mazingira sawa kwa kila kundi, nature iwe factored in kujua nani anaweza kufanya nini kwa uwezo wake nk. (Who should do it? Hilo ni swali gumu).
 
Yeah, tumeelewana vizuri
 
Kwa sasa hivi, watunga sera na wanasiasa wa magharibi ambao ndio wanao set fashion na mtazamo wa Dunia nzima

Wanam potray mwanamke kama mtu mwenye uwezo ila aliyekandamizwa, kunyimwa haki na kurudiswa nyuma kwa kipindi kirefu

Siku hizi mwanamke anapewa feva nyingi kama kupendelewa kwenye nafasi za taasisi za kitaaluma, kupewa nafasi za Ubunge, udiwani ili kumleta sawa na mwanaume, kuna michezo ya kiume kama soka ambayo inapewa promotion kwa wanawake, yote kwa sababu inaonekana amekandamizwa sana

So Bible ingeandikwa mwanamke ni anatakiwa abebwe sababu system imembagua tangia zamani

Maoni yangu ni kuwa, mwanamke kwa kiasi fulani amekandamizwa na system ila kuna mengine ni yeye tu alivyo na kujaribu kumpandisha juu sana alingane utakuwa haufanyi haki kwa wengine.

So kuna ubaguzi wa kijinsia ambao unatakiwa uondolewe ila umakini unatakiwa pia
Mwanamke alitoka kwenye ubavu wa mwanaume...rejea Adam na Hawa.....kwa asili mwanamke aliumbwa kumsaidia mwanaume...hayo mengine ni mapambo tu ambayo hayana msingi!....hesabu zote zinakataa mwanamke hawezi kujisimamia bila kusaidiwa na mwanaume na ushahidi upo mwingi ....Am sorry to say that...
 
Na wewe ni mpumbavu huwezi kosoa maandiko matakatifu.
Quran na Bible ni muongozo wa Maisha yetu. Sa nitashangaa kwa mnao pinga theory ya god creation.
Ok kwa kawaida tu mfumo dume ni system ambayo ni nature.
Nakupa mfano Physically Mwanamke ni weak over Mwanaume.
Ata utendaji wa kazi ni tofauti pia.
Ndo maana kuna gender difference.
Kma una support huo usenge basi ata kwenye michezo Twiga Stars wacheze na Taifa stars ndo utapata jibu..
 
Alipewa za uso mpaka akajitete kuna kijitabu alikisoma ndo kiliandika hvyo sio yeye anatafuta pa kutokea sasa
 
Ni kajamaa jamaa hivi, kanadai kenyewe ndio kama masters ya sociology kuliko wasanii wote bongo na ndio kenye masters ya sociology Arusha yote. Daah
Huyo jamaa sio mtu wa Arusha, ni mtu rombo mashati huko moshi, Arusha kaamia tu, si unajua mchagga akitoka moshi, hasemi ni mtu wa moshi, anasema ni waarusha ili apate heshima.

Ata huko vyuoni wachagga wengi wanasemaga wametoka Arusha, kuna wengine hata Arusha hawajawahi kanyaga,walitokea dar na moshi ila utasikia nimetoka Arusha.
 
Picha bas kiukweli mimi simfahamu huyo celeb mwenye picha yake tafadhali
 
Mi nataka achapiwe yule manzi wake hizo qoute kuhusu supremacy ya wanawake atazikana fasta .

Jamaa anajiona kapata sana ngoja wahuni tufanye yetu .

Huko mbele atakuja simulia tu
😂😂😂 binafsi mchizi namuona ni mshamba wa K tu. Yote afanyayo ni kutaka sifa kwa mamz wake tu sikuhizi. Wakimtombea anaeza akafa maana naona hata demu anammiliki kwa zali baada ya kula sana nyex
 
Anaitwa Somebody Temu sijue nani jina lake LA mwanzo ofcoz the chick is so hot hata. Mimi mate yanintoka ila to be a real man u have to make reservation to your attitude .thats classy

Huyu mchizi kapata demu ukubwani basi kajanjaruka saaana.
Anaaibika sasa
 
Ngoja tumuundie mkakati mkuu ha ha ha ha shida yake atakua mgeni wa wanawake anadhani hawezi kupigiwa ila akumbuke yule demu hakumkuta bikra
Mkimtombea atakufwa aisee, amependa sana mpaka kupitiliza
 
Ha
Hana Ya Sociology mkuu Sociology alisoma Bachelor ila Uzamili alisoma Development Study pale IDS alikua anapita kachokaaa nakibegi chake dogo bado Sana Yule
Sasa huyu jamaa kama anajiweza si awe lecturer hapo UDSM mbona anapuyanga tu?
 
Niki wa 2 hajakosea chochote kuhoji uhalali wa Biblia, he’s right. Both Biblia na Qur’an si vitabu vya Mungu, Biblia imeandikwa na watu through hear say (maneno ya kuambiwa) na Qur’an hivyo hivyo japo waislam wanasema imeshushwa na Mungu kitu ambacho si kweli. Na hivi vitabu si muongozo wa binadam wote bali wayahudi na waislam tu ambao ni believers. Mungu katupa akili ya kufikiri, tusijiaminishe upuuzi.
 
Back
Top Bottom