Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

Nick wa Pili na mbwembwe za usomi

Nikki wa pili angekua demu ningesema alipata digrii ya chupi ila pia kwa kusoma trend ya mashoga mjini nimegundua wengi wanatoka moshi na arusha so hii kitu inanipa wasiwasi na elimu yake
 
Kuna siku moja alikuwa kwenye mdahalo na Afande sele ,kuanzia siku hiyo ndipo nilijua jamaa ni mweupe ila anajifanya anajifanya anajua ..

Siku hiyo Afande sele alimtapanya kwa hoja na utitiri wa vitabu alivyowahi kusoma. Kuna muda Afande sele alimwambia " Dogo tuliza mzuka"
 
Nikki wa pili angekua demu ningesema alipata digrii ya chupi ila pia kwa kusoma trend ya mashoga mjini nimegundua wengi wanatoka moshi na arusha so hii kitu inanipa wasiwasi na elimu yake

Ndugu mbona umekwenda mbali sana na kinachojadiliwa hapa......

Inaonyesha una chuki za asili na watu wa kaskazini.......!!!!
 
Ndugu mbona umekwenda mbali sana na kinachojadiliwa hapa......

Inaonyesha una chuki za asili na watu wa kaskazini.......!!!!
Ndugu kwa taarifa yako mimi nina asili ya kaskazini pia, nilichofanya ni kuelezea umagumashi wa huyo msanii wako nothing personal!
 
Sina tatizo na nick kwenye kazi yake ya mziki ila huku kwingine kwakweli kwa upande wangu mimi anaboa

Na huko kusoma kwake SOCIOLOGY ndio amekuwa akijifanya mjuaji kupita kiasi sipati picha jamaa angesoma AFYA, ENGINEER, LAW

Jamaa kwenye hoja waga haeleweki, muulize swali liko open kabisa ila jibu atakalokupa hadi unaonea huruma elimu yake

juzi kati kaulizwa swali na msanii mwenzake (WAKAZI) kule kwenye uwanja wake wa kujichukulia points (Twitter) aisee jibu alilotoa na kama huo ndio waga ujibuji wake sijui ata chuo alikuwa anafaulu vipi maana ni zaidi ya opposite

Lile jibu lilinishangaza sana.
 
Ndugu kwa taarifa yako mimi nina asili ya kaskazini pia, nilichofanya ni kuelezea umagumashi wa huyo msanii wako nothing personal!

Hata wewe una asili ya huko kuuhusiha uchafu wa mtu mmoja na jamii nzima ya kaskazini ni kuivunjia heshima jamhuri ya kaskazini.....

Thats too personal.......
 
Kuna siku moja alikuwa kwenye mdahalo na Afande sele ,kuanzia siku hiyo ndipo nilijua jamaa ni mweupe ila anajifanya anajifanya anajua ..

Siku hiyo Afande sele alimtapanya kwa hoja na utitiri wa vitabu alivyowahi kusoma. Kuna muda Afande sele alimwambia " Dogo tuliza mzuka"

Tatizo la Nick ni ile kasumba ya kudhani anapotoa hoja kwa kutumia lugha fulani ya upekee ndio usomi wenyewe. Zamani nilikuwa nahisi ni mimi mwenye shida katika kuzielewa hoja zake ila baada ya kuchunguza zaidi nikagundua sina shida ila ni yeye ndiye mwenye tatizo.
 
Hata wewe una asili ya huko kuuhusiha uchafu wa mtu mmoja na jamii nzima ya kaskazini ni kuivunjia heshima jamhuri ya kaskazini.....

Thats too personal.......
Ndugu kusema ukweli sio kuvunja heshima nilichoelezea ni kutokana na uzoefu Wangu, mashoga wengi miaka hii wanatokea kaskazini tofauti na zamani walipatikana pwani, sifa kubwa ya shoga ni shobo na kupenda attention, Nikki ana sifa zote hizi, sorry kama nimekukwaza!
 
Hivi kasomea nn huyu jamaa?nadhani mwana FA ana masters miaka mingi tu na sijawahi kuona sehem akijisifia sana kuwa yeye ni msomi.

Tunamkaribisha sana jf kwenye midahalo ya kisomi...kama alishindwa kujibu swali la wakazi kule twitter humu sijui itakuwaje
 
Tatizo la Nick ni ile kasumba ya kudhani anapotoa hoja kwa kutumia lugha fulani ya upekee ndio usomi wenyewe. Zamani nilikuwa nahisi ni mimi mwenye shida katika kuzielewa hoja zake ila baada ya kuchunguza zaidi nikagundua sina shida ila ni yeye ndiye mwenye tatizo.
Mkuu Mimi nilijibizana nae kwa hoja nzito zilizotukuka kule Instagram mwisho wa siku akaniblock...

Kiukweli jamaa huwa anajiona ni Tank Thinker kumbe watu tunamchora... Kuna siku moja alisema

"Mzee akifikia miaka 50 huwa anaitwa kuwa anaelekea kuzeeka , sasa nashangaa Tanzania ina miaka 50 ya Uhuru umri sawa wa kuzeeka kama binadamu ila haina barabara na Huduma za afya "

Hii kauli ilinipa ukakasi kweli , hivi unaweza kulinganisha umri na life span ya nchi na MTU ????[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Alikuwa na lengo zuri la hoja yake ila kuna vitu vilitia ukakasi sana.
 
Ka una kiungulia kunywa chai ya rangi mkuu...mmbuyu ulianza ka mchicha ka hoja zake nyepes kwa kile alichokilenga one day atakomaa na kua mahir kwnye hoja....

asante kwa ushauri mkuu, kumbe chai ya rangi inatibu kiungulia
 
Usiendelee kuuliza maswali mkuu andaa chai kwanza ukimaliza rud hapa kwa mrejesho wa dawa
 
Sina shida na Nick Ila kuna kashikaji kake na Nick kanaitwa Hassan Ngima ka kule mawingu TV yaani kajamaa kanajifanya kanajua kila kitu cha Duniani afu kwa kutegemea uteuzi kanapenda sana kumfagilia mzee baba na chama kongwe!! Daah
ni Hassani ngoma, nilijua nimim tu naujinga wangu kumbe wengi mmemuona
 
Hivi kasomea nn huyu jamaa?nadhani mwana FA ana masters miaka mingi tu na sijawahi kuona sehem akijisifia sana kuwa yeye ni msomi.

Tunamkaribisha sana jf kwenye midahalo ya kisomi...kama alishindwa kujibu swali la wakazi kule twitter humu sijui itakuwaje
Jamaa ni mwepesi sana ila nahisi kuna watu ndio wanampa kichwa nayeye anafkia hatua ya kujiona great thinker
 
Hoja zake tatizo anatoa kwa mafumbo haendi moja kwa moja kwenye point akaeleweka anamaanisha nini!!!
 
Back
Top Bottom