Nikki wa pili angekua demu ningesema alipata digrii ya chupi ila pia kwa kusoma trend ya mashoga mjini nimegundua wengi wanatoka moshi na arusha so hii kitu inanipa wasiwasi na elimu yake
Ndugu kwa taarifa yako mimi nina asili ya kaskazini pia, nilichofanya ni kuelezea umagumashi wa huyo msanii wako nothing personal!Ndugu mbona umekwenda mbali sana na kinachojadiliwa hapa......
Inaonyesha una chuki za asili na watu wa kaskazini.......!!!!
Sina tatizo na nick kwenye kazi yake ya mziki ila huku kwingine kwakweli kwa upande wangu mimi anaboa
Na huko kusoma kwake SOCIOLOGY ndio amekuwa akijifanya mjuaji kupita kiasi sipati picha jamaa angesoma AFYA, ENGINEER, LAW
Jamaa kwenye hoja waga haeleweki, muulize swali liko open kabisa ila jibu atakalokupa hadi unaonea huruma elimu yake
juzi kati kaulizwa swali na msanii mwenzake (WAKAZI) kule kwenye uwanja wake wa kujichukulia points (Twitter) aisee jibu alilotoa na kama huo ndio waga ujibuji wake sijui ata chuo alikuwa anafaulu vipi maana ni zaidi ya opposite
Ndugu kwa taarifa yako mimi nina asili ya kaskazini pia, nilichofanya ni kuelezea umagumashi wa huyo msanii wako nothing personal!
Kuna siku moja alikuwa kwenye mdahalo na Afande sele ,kuanzia siku hiyo ndipo nilijua jamaa ni mweupe ila anajifanya anajifanya anajua ..
Siku hiyo Afande sele alimtapanya kwa hoja na utitiri wa vitabu alivyowahi kusoma. Kuna muda Afande sele alimwambia " Dogo tuliza mzuka"
Ndugu kusema ukweli sio kuvunja heshima nilichoelezea ni kutokana na uzoefu Wangu, mashoga wengi miaka hii wanatokea kaskazini tofauti na zamani walipatikana pwani, sifa kubwa ya shoga ni shobo na kupenda attention, Nikki ana sifa zote hizi, sorry kama nimekukwaza!Hata wewe una asili ya huko kuuhusiha uchafu wa mtu mmoja na jamii nzima ya kaskazini ni kuivunjia heshima jamhuri ya kaskazini.....
Thats too personal.......
Wanatoa ila nasikia course ya mapishi ya chachandu haipo ndo maana kaamua kwenda ughaibuni.Kwani hapo Eagle wings hawatoi masters ya mapishi
Mkuu Mimi nilijibizana nae kwa hoja nzito zilizotukuka kule Instagram mwisho wa siku akaniblock...Tatizo la Nick ni ile kasumba ya kudhani anapotoa hoja kwa kutumia lugha fulani ya upekee ndio usomi wenyewe. Zamani nilikuwa nahisi ni mimi mwenye shida katika kuzielewa hoja zake ila baada ya kuchunguza zaidi nikagundua sina shida ila ni yeye ndiye mwenye tatizo.
Mtu muoga muoga hawezi kuwa na hoja nzito asilan!Hoja za Nikki hazina uzito wowote,ni mwepesi tu
Nikki ana mafollowaz wa aina yake yeye ndio maana wanamuelewa!Hivi kweli nick ni mtaalam wa kunata na biti?
Hivi hoja gani nzito hutoa?
Ka una kiungulia kunywa chai ya rangi mkuu...mmbuyu ulianza ka mchicha ka hoja zake nyepes kwa kile alichokilenga one day atakomaa na kua mahir kwnye hoja....Yaah mkuu nimemaliza...
ni Hassani ngoma, nilijua nimim tu naujinga wangu kumbe wengi mmemuonaSina shida na Nick Ila kuna kashikaji kake na Nick kanaitwa Hassan Ngima ka kule mawingu TV yaani kajamaa kanajifanya kanajua kila kitu cha Duniani afu kwa kutegemea uteuzi kanapenda sana kumfagilia mzee baba na chama kongwe!! Daah
Jamaa ni mwepesi sana ila nahisi kuna watu ndio wanampa kichwa nayeye anafkia hatua ya kujiona great thinkerHivi kasomea nn huyu jamaa?nadhani mwana FA ana masters miaka mingi tu na sijawahi kuona sehem akijisifia sana kuwa yeye ni msomi.
Tunamkaribisha sana jf kwenye midahalo ya kisomi...kama alishindwa kujibu swali la wakazi kule twitter humu sijui itakuwaje