Nicki Minaj, "Wapendwa Wanaume, Wanawake hujiremba kwa ajili yao wenyewe"

Zacht

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
1,026
Reaction score
2,266
Habari wakuu.

Huko Twitter msanii Nick Minaj amezua mjadala mkubwa kupitia tweet yake , ambayo ametupiga wanaume madongo ya kutosha kuwa tunajidaganya kudhani wanawake wanapendeza kwa ajili yetu , they do for themselves...

Mimi binafsi nakataa mwanamke anapendeza huku aki expert attention ya mtu ni asilimia ndogo Sana huyo mtu awe mwanamke mwezie , the same kwetu sisi wanaume tunavimba na kupendeza hili kuwavutia wanawake..... it's human nature

"Dear Men,

Women don’t

DRESS FOR YOU ✅

DO MAKEUP FOR YOU ✅

DO THEIR HAIR FOR YOU ✅

Just like most of y’all only phuck for YOU & not the woman’s pleasure.

THIS ALL FOR US.

This ain’t ABOUT YOU

Now GO.

Thx for COMING"

Una maoni gani?
 
Mie nakubaliana naye kabisa hapo kwenye phuck maana mbususu yenyewe nainunua so wacha nijioe raha mwenyewe.
 
ukweli tunapendez KUFURAHISHA moyo ukitaka akuone umependeza atafanya pia.

labda mtoa mada km upo stage ya mnavaa vizuri kansani ili waumini wajuone ulivo mbabe wa kupigilia pamba na sio kwenda kwaajili ya kusali
 
Kufurahisha moyo kwamba watu wananiona vizuri ( either sexy, beautiful, mtukutu, rich au mjanja), so tayari wazo la kupendeza watu linarudi palepale
 
Binafsi kivyovyote vile huwa naishi kwa ajili yangu
Sawa...lakini dada Yangu hakuna siku ambayo umvaa skin taiti ,Dera au kipesi Huku moyoni ukiwa na expatiation ya kuwavuti wanaume (be honest) ,hadi kufika stage hii Ile dhana ya kuvaa kwa ajili yako inakufa
 
ukweli tunapendez KUFURAHISHA moyo ukitaka akuone umependeza atafanya pia.

labda mtoa mada km upo stage ya mnavaa vizuri kansani ili waumini wajuone ulivo mbabe wa kupigilia pamba na sio kwenda kwaajili ya kusali
Moyo unatamani uonekane umependeza machoi pa watu ,unavuti etc....ukifanya hili uupe furaha moyo wako tayari unakuwa ujafanya kwa ajili yako.
It's human nature
 
Sawa...lakini dada Yangu hakuna siku ambayo umvaa skin taiti ,Dera au kipesi Huku moyoni ukiwa na expatiation ya kuwavuti wanaume (be honest) ,hadi kufika stage hii Ile dhana ya kuvaa kwa ajili yako inakufa
Haipo hiyo siku mkuu
 
Habari wakuu.
Huko Twitter msanii Nick Minaj amezua mjadala mkubwa kupitia tweet yake , ambayo ametupiga wanaume madongo ya kutosha kuwa tunajidaganya kudhani wanawake wanapendeza kwa ajili yetu , they do for themselves...

Mimi binafsi nakataa mwanamke anapendeza huku aki expert attention ya mtu ni asilimia ndogo Sana huyo mtu awe mwanamke mwezie , the same kwetu sisi wanaume tunavimba na kupendeza hili kuwavutia wanawake..... it's human nature

"Dear Men,

Women don’t

DRESS FOR YOU ✅

DO MAKEUP FOR YOU ✅

DO THEIR HAIR FOR YOU ✅

Just like most of y’all only phuck for YOU & not the woman’s pleasure.

THIS ALL FOR US.

This ain’t ABOUT YOU

Now GO.

Thx for COMING"

Una maoni gani?
Note hii.
Mwanamke huwa hamaanishi kile anachosema
 
Tatizo mademu ya siku hizi mengi ni Bisexual ndo maana hata mindset zao zimekaa kiajabuajabu
 
Mwanamke anapendeza ili aonekane nzuri kupita mwanamke mwenzake,classic kuzidi wenzake
 
Back
Top Bottom