STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Unajiita
Jamila CuteGirlNikiMinaj,unaishi kwa
kuunga-unga, Kila Mwisho wa Mwezi unarusha
Mizinga kwa Boyfriend na wanaume wengine
vidumu na meseji zako za SEND TO MANY, unaandika
meseji 1 unatuma kwa wanaume
10, ''Baby,Mambo, mekumith,kesho nataka niende Saluni Mchana pale Kwa Remmy, ila sina hela ya
saluni naomba Nitumie
M PESA'' Halafu unasubiria
wangapi watakujibu...
Unajiita Minaj huna hata hela ya nywele??? Acha
kuchezea majina ya watu,heri ujiite Jamila
Ndalandefu tu..
Minaj my hair