Nicki Minaj

Nicki Minaj

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Unajiita
Jamila CuteGirlNikiMinaj,unaishi kwa
kuunga-unga, Kila Mwisho wa Mwezi unarusha
Mizinga kwa Boyfriend na wanaume wengine
vidumu na meseji zako za SEND TO MANY, unaandika
meseji 1 unatuma kwa wanaume
10, ''Baby,Mambo, mekumith,kesho nataka niende Saluni Mchana pale Kwa Remmy, ila sina hela ya
saluni naomba Nitumie
M PESA'' Halafu unasubiria
wangapi watakujibu...
Unajiita Minaj huna hata hela ya nywele??? Acha
kuchezea majina ya watu,heri ujiite Jamila
Ndalandefu tu..
Minaj my hair
 
!
!
weka namba yake ya simu.
 
Ananiacha hoi Maajabu anapojiita Mawonder, Mwajuma - MwaJ.
 
Hahahaha, minaji nywele mpaka atume maombi kwa wadhami,

hii mitandao ya kijamii itaua dada zetu, masista duu wengi majina yao mitandaoni haiendani kabisaa na maisha yao
 
Unajiita
Jamila CuteGirlNikiMinaj,unaishi kwa
kuunga-unga, Kila Mwisho wa Mwezi unarusha
Mizinga kwa Boyfriend na wanaume wengine
vidumu na meseji zako za SEND TO MANY, unaandika
meseji 1 unatuma kwa wanaume
10, ''Baby,Mambo, mekumith,kesho nataka niende Saluni Mchana pale Kwa Remmy, ila sina hela ya
saluni naomba Nitumie
M PESA'' Halafu unasubiria
wangapi watakujibu...
Unajiita Minaj huna hata hela ya nywele??? Acha
kuchezea majina ya watu,heri ujiite Jamila
Ndalandefu tu..
Minaj my hair
Hata ilo Jamila ni la watu atafute linaomfaa kutokan na style yake anayoish
 
Hahahaha, minaji nywele mpaka atume maombi kwa wadhami,

hii mitandao ya kijamii itaua dada zetu, masista duu wengi majina yao mitandaoni haiendani kabisaa na maisha yao
Shida ukiitumia kama kigezo Hiyo sketi lazima ishuke
 
Back
Top Bottom