Unajiita
Jamila CuteGirlNikiMinaj,unaishi kwa
kuunga-unga, Kila Mwisho wa Mwezi unarusha
Mizinga kwa Boyfriend na wanaume wengine
vidumu na meseji zako za SEND TO MANY, unaandika
meseji 1 unatuma kwa wanaume
10, ''Baby,Mambo, mekumith,kesho nataka niende Saluni Mchana pale Kwa Remmy, ila sina hela ya
saluni naomba Nitumie
M PESA'' Halafu unasubiria
wangapi watakujibu...
Unajiita Minaj huna hata hela ya nywele??? Acha
kuchezea majina ya watu,heri ujiite Jamila
Ndalandefu tu..
Minaj my hair
Hata ilo Jamila ni la watu atafute linaomfaa kutokan na style yake anayoishUnajiita
Jamila CuteGirlNikiMinaj,unaishi kwa
kuunga-unga, Kila Mwisho wa Mwezi unarusha
Mizinga kwa Boyfriend na wanaume wengine
vidumu na meseji zako za SEND TO MANY, unaandika
meseji 1 unatuma kwa wanaume
10, ''Baby,Mambo, mekumith,kesho nataka niende Saluni Mchana pale Kwa Remmy, ila sina hela ya
saluni naomba Nitumie
M PESA'' Halafu unasubiria
wangapi watakujibu...
Unajiita Minaj huna hata hela ya nywele??? Acha
kuchezea majina ya watu,heri ujiite Jamila
Ndalandefu tu..
Minaj my hair
Hahahahaha dah eti kidawa anajiita Kimedicine[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahahh.... Kidawa anajiita Kimedicine