Nickson Kibabage is ๐—š๐—ฅ๐—˜๐—˜๐—ก & ๐—ฌ๐—˜๐—Ÿ๐—Ÿ๐—ข๐—ช

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
[emoji599] OFFICIAL: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa chipukizi Nickson Kibabage aliyekuwa Singida Big Stars kwa mkataba wa miaka miwili.

20230705_000815.jpg
 
Ndo kuwaweka watu mpaka mida hii kisa huyu dogo ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
[emoji599] OFFICIAL: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa chipukizi Nickson Kibabage aliyekuwa Singida Big Stars kwa mkataba wa miaka miwili.

Huyu bake ni mfupi mipira ya juu itakuwa shida kwake. Sikuona haja ya kumsajili huyu wakati .... Anyway karibu kibabage maana hapa ni kama tulikurupuka tu. Sielewi shida nini.
 
Timu wafupi kama nyundo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Huyu bake ni mfupi mipira ya juu itakuwa shida kwake. Sikuona haja ya kumsajili huyu wakati .... Anyway karibu kibabage maana hapa ni kama tulikurupuka tu. Sielewi shida nini.
Kama ufupi ungekuwa ni tatizo kwa wachezaji basi Lionel Messi asingekuwa mchezaji bora wa Dunia kwa miaka nenda.

Mimi nadhani tuangalie zaidi kipaji cha huyu dogo, na kile atakachofanya uwanjani! Badala ya kuhofia kimo chake.

Na katika hili, nawapongeza Yanga kwa usajili mzuri. Nickson Kibabage ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu sana. Na ni aina ya mabeki wa pembeni ambao wanacheza modern football.
 
Messi anacheza nafasi gani? Na unawezaje kulinganisha kipaji cha Messi na akina twinko twinko? Usimkosee Messi kabisa.
 
Huo ni mfano tu wa kuonesha ufupi hauwezi kumsababishia mtu kushindwa kucheza mpira. Kinachohitajika uwanjani ni kipaji tu cha mchezaji.

By the way, Nickson Kibabage anacheza left back, ambayo haihitaji mcheza kuwa na kimo kirefu! Na hata Kibwana Shomari ana kimo kifupi, lakini msimu uliomalizika aliaminiwa na mwalimu, na kazi yake kila mtu aliiona.
 
Sasa huwezi taja Lorries ukataja
1. Scania
2. Volvo
3. Benz
4. Suzuki Carry

Si sawa hata kidogo.
 
Back
Top Bottom