Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
[emoji599] OFFICIAL: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa chipukizi Nickson Kibabage aliyekuwa Singida Big Stars kwa mkataba wa miaka miwili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajiona wa maana kumuita binadamu mwenzio Tumbili utadhani wewe umeumbwa mkamilifu?Utopolo washamba sana sasa hiki kitumbili nacho ni vibe au mmeshiba mihogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu bake ni mfupi mipira ya juu itakuwa shida kwake. Sikuona haja ya kumsajili huyu wakati .... Anyway karibu kibabage maana hapa ni kama tulikurupuka tu. Sielewi shida nini.[emoji599] OFFICIAL: Klabu ya Yanga imethibitisha kukamilisha usajili wa chipukizi Nickson Kibabage aliyekuwa Singida Big Stars kwa mkataba wa miaka miwili.
Afu end of the season anavaa medali[emoji966][emoji28]Timu wafupi kama nyundo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Kama ufupi ungekuwa ni tatizo kwa wachezaji basi Lionel Messi asingekuwa mchezaji bora wa Dunia kwa miaka nenda.Huyu bake ni mfupi mipira ya juu itakuwa shida kwake. Sikuona haja ya kumsajili huyu wakati .... Anyway karibu kibabage maana hapa ni kama tulikurupuka tu. Sielewi shida nini.
Messi anacheza nafasi gani? Na unawezaje kulinganisha kipaji cha Messi na akina twinko twinko? Usimkosee Messi kabisa.Kama ufupi ungekuwa ni tatizo kwa wachezaji basi Lionel Messi asingekuwa mchezaji bora wa Dunia kwa miaka nenda.
Mimi nadhani tuangalie zaidi kipaji cha huyu dogo, na kile atakachofanya uwanjani! Badala ya kuhofia kimo chake.
Na katika hili, nawapongeza Yanga kwa usajili mzuri. Nickson Kibabage ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu sana. Na ni aina ya mabeki wa pembeni ambao wanacheza modern football.
Huo ni mfano tu wa kuonesha ufupi hauwezi kumsababishia mtu kushindwa kucheza mpira. Kinachohitajika uwanjani ni kipaji tu cha mchezaji.Messi anacheza nafasi gani? Na unawezaje kulinganisha kipaji cha Messi na akina twinko twinko? Usimkosee Messi kabisa.
Sasa huwezi taja Lorries ukatajaHuo ni mfano tu wa kuonesha ufupi hauwezi kumsababishia mtu kushindwa kucheza mpira. Kinachohitajika uwanjani ni kipaji tu cha mchezaji.
By the way, Nickson Kibabage anacheza left back, ambayo haihitaji mcheza kuwa na kimo kirefu! Na hata Kibwana Shomari ana kimo kifupi, lakini msimu uliomalizika aliaminiwa na mwalimu, na kazi yake kila mtu aliiona.