Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

Huyo CDF ni mhaya...
Nyie mtakufa na kiziba cha roho wasukuma ndio kwanza wanaongzeka..
Wasukuma wangekuwa na ukabila nusu ya walio nao wahaya na wachaga nahisi mngehama nchi.
Kaangalie video acha kusimuliwa kasema lugha yeyote katolea mfano kisukuma na nyie pendekezeni zenu.
 
Kwani wewe baba yako au babu yako hawajawahi kunywa gongo??
Nimeandika kuhusiana na baadhi hoja zinazotolewa katika vikao. Badala ya kujadili mambo yanayowagusa wananchi, baadhi ya Wabunge hutumia muda huo kujadili mambo yasiyo na tija. Hilo la kunywa au kutokunywa gongo halihusiani na niliyoandika.
 
Nami nasema Tanzania tunapoteza mapato kwa kuzuia kinywaji cha gongo pamoja na ulimaji wa bangi.
 
Nami nasema Tanzania tunapoteza mapato kwa kuzuia kinywaji cha gongo pamoja na ulimaji wa bangi.
Mi niseme tu kwamba baadhi ya Watanzania wameharibikiwa kwa matumizi yaliyokithiri ya gongo pamoja na uvutaji wa bangi. Vyote hivyo haviruhusuwi katika sheria zetu.
 
These people have really weird accent
 
Alikuwa akimaanisha nini 'kuwachenga'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…