NICOL iwezeshwe iagize mafuta ili kuokoa upungufu wa mafuta

NICOL iwezeshwe iagize mafuta ili kuokoa upungufu wa mafuta

Why NICOL?

ni kampuni iliyounganisha wazalendo wengi na 100% inamilikiwa na watanzania wenyewe na pia ni kampuni ambayo ina mtaji mkubwa uliolala takribani bil 23, na ni kampuni ambayo wanahisa wake wanapoteza uelekeo kama tukikaa kimya
 
What is your definition of Mzalendo or Watanzania???? Hivi unajua utaifa wa wamiliki wengi wa vituo vya kuuza mafuta nchini???
 
ni kampuni iliyounganisha wazalendo wengi na 100% inamilikiwa na watanzania wenyewe na pia ni kampuni ambayo ina mtaji mkubwa uliolala takribani bil 23, na ni kampuni ambayo wanahisa wake wanapoteza uelekeo kama tukikaa kimya
Godwine sikufahamu lakini afadhani unishawishi tukuwezeshe wewe uagize mafuta kuliko kunikumbusha maumivu ya Nicol na hapa usipoteze muda Nicol ni kama Lowassa hawasafishiki hata kwa foma/jik.
 
Godwine sikufahamu lakini afadhani unishawishi tukuwezeshe wewe uagize mafuta kuliko kunikumbusha maumivu ya Nicol na hapa usipoteze muda Nicol ni kama Lowassa hawasafishiki hata kwa foma/jik.[/QUOT

kwanini uumie wakati unafahamu nicol bado mna akiba katika benki ya NMB ambayo ni hisa za 6% na ambazo kama mkiamua mnaweza kuwekeza kwenye sekta ya mafuta ambayo faida yake hiko juu ya asilimia 20%.

tatizo wanahisa wa nicol mmekata tamaa mapema na kudhani kuwa amuwezi kuokoa kile kinachoanza kuzama.
 
Kama wangekua nchi nyingine na sio Tanzania, wakurugenzi watendaji (CEOs) wa NICOL wangekua jela siku nyingi. Walio nunua shares NICOL imekula kwao maana NICOL imewekwa pembeni kwenye soko la mitaji Dar na akaunti zake zote zimefungwa sababu ya ubadhrifu wa kununua kampuni ya ndugu yake Mengi ya madawa iliyokua mufilisi na kutozingatia kutoa ripoti za ukaguzi wa fedha za wana-shares kwa miaka kadhaa! Sasa ndugu Godwine unatoa ushauri wa kuikopesha NICOL na kuiongezea mataji bila kufanya utafiti na kujua NICOL ya Felix Mosha imetuachia maumivu sana! Utapeli mtupu!
 
Pengine Godwine anataka kutuhadaa ili tushawishike serikali ikitoa hela ya kuwekeza na yeye arudishiwe vipande vyake akiuza shares zake kwa watu wengine. In short NICOL ni sinking fund inahitaji kubadilishwa uongozi wote ndipo credibility yake inaweza kuwa repaired. Vile vile midili ya ufisadi yote iondolewe katika balance sheet ili waanze clean otherwise, any money itakayowekezwa humo ndani itaishia kuwalipa wadau na madeni mbali mbali. Vile vile hii kampuni ilikuwa inatengeneza hasara since 2007 hivyo ni vema uongozi wake including the board of director wakaondoka na waanze upya. Venginevyo, serikali ikiwekeza NICOL ni sawa na kuchukua hela na kutia katika moto zikateketea but sishangai kwani wameshafanya hilo ATCL, TRL hivyo wanaweza kufanya tena hivyo hivyo kwa NICOL.
 
kwanini uumie wakati unafahamu nicol bado mna akiba katika benki ya NMB ambayo ni hisa za 6% na ambazo kama mkiamua mnaweza kuwekeza kwenye sekta ya mafuta ambayo faida yake hiko juu ya asilimia 20%.tatizo wanahisa wa nicol mmekata tamaa mapema na kudhani kuwa amuwezi kuokoa kile kinachoanza kuzama.
Godwine nimefatilia zaidi ya unavyofikiri hata hizo hela zilizopo NMB wangechukua zamani wamekataliwa tu,sio kukata tamaa ni 'cutting your losses', mimi na wengi tumezisamehe na wala hatutegemei zirudi lakini kuongeza zingine au kuipigia debe NICOL wakopeshwe na SERIKALI au TAASISI/BENKI yoyote hiyo SAHAU!
 
Kama wangekua nchi nyingine na sio Tanzania, wakurugenzi watendaji (CEOs) wa NICOL wangekua jela siku nyingi. Walio nunua shares NICOL imekula kwao maana NICOL imewekwa pembeni kwenye soko la mitaji Dar na akaunti zake zote zimefungwa sababu ya ubadhrifu wa kununua kampuni ya ndugu yake Mengi ya madawa iliyokua mufilisi na kutozingatia kutoa ripoti za ukaguzi wa fedha za wana-shares kwa miaka kadhaa! Sasa ndugu Godwine unatoa ushauri wa kuikopesha NICOL na kuiongezea mataji bila kufanya utafiti na kujua NICOL ya Felix Mosha imetuachia maumivu sana! Utapeli mtupu!

kuna kitu ambacho nilipenda jamii ikifahamu ambacho ni ushauri wangu ulikuwa na malengo makuu mawili

1. kuonyesha umuhimu wa serikali kuzichukua asilimia 6% za benki ya NMB kutoka kwa nicol na kuwapa bil23 hii ni sawa na kuzifungua fedha zilizonasa za watanzania na kuwapa wakati mwingine wa kuweza kufanya biashara.na nisingetarajia kuwa vijana ndani ya nicol kukubali tena kuburuzwa na akina felix mosha.

2.kuweza kuwawezesha watanzania wengi waliokata tamaa kuja kuwa kundi lenalotegemewa na serikali katika udhibiti wa kupanda kwa mafuta na kupunguza mfumuko wa bei unaoweza kusababisha machafuko katika nchi yetu
 
Pendekezo langu ni Dar Stock Exchange Authority, iteue caretaker- management, iwafungulie wakurugenzi wa sasa wa NICOL mashtaka na kuwafilisi na kuitisha mkutano wa shareholders. Sioni mantiki ya kuuza shares za NICOL zilizopo NMB wakati NMB inapata faida kubwa. Felix Mosha na wenzie wamekua wakiwalaghai wanahisa! Lazima wafunguliwe mashtaka ili hili jaribio la kuchanga mtaji kutoka kwa wanahisa wadogo wadogo lisiwe kama ilivyo kwenye vyama vya ushirika. Wajanja wanatafuna hisa za washirika!
 
dar stock tayari wamewatoa nicol kwenye soko(DSE) na kwasasa nicol si mwanachama kwahiyo hawawezi kufanya lolote juu ya nicol kwakuwa si mwanachama wake tena.

felix mosha ameshasimamishwa kuendesha shughuli za nicol na ila bado nashangaa vijana waliokuwa ndani ya kampuni hii kwanini wasije na mawazo yao na waanze kuongoza na kuiokoa kampuni hii

nawashauri nicol njia nzuri ya kuondokana na tatizo hili ni kujiingiza kwenye biashara ya mafuta nao wawe mashujaa wetu
 
kuna kitu ambacho nilipenda jamii ikifahamu ambacho ni ushauri wangu ulikuwa na malengo makuu mawili

1. kuonyesha umuhimu wa serikali kuzichukua asilimia 6% za benki ya NMB kutoka kwa nicol na kuwapa bil23 hii ni sawa na kuzifungua fedha zilizonasa za watanzania na kuwapa wakati mwingine wa kuweza kufanya biashara.na nisingetarajia kuwa vijana ndani ya nicol kukubali tena kuburuzwa na akina felix mosha.

2.kuweza kuwawezesha watanzania wengi waliokata tamaa kuja kuwa kundi lenalotegemewa na serikali katika udhibiti wa kupanda kwa mafuta na kupunguza mfumuko wa bei unaoweza kusababisha machafuko katika nchi yetu

Kwanza bwana Godwine unazidi kujichanganya,

Je unajua sababu za mahakama kuu kuzuia NMB isitoe gawio la dividend kwa NICOL? Pili suala la mafuta na institutional investor ni vitu viwili tofauti kwasababu NICOL ni muwekezaji anawakilisha wadau mbali mbali na mafuta ni biashara ambayo ni very risky sometimes je unalifahamu hilo? Isitoshe machafuko tanzania yanaweza kutokea ila yangelianzia na umeme unapanda bei kila siku na kukosekana nchini ambao unaathari kubwa kuliko mafuta? I beg to differ on your argument NICOL is defunct investment company na inatakiwa ifilisiwe kabisa ili kulipa madeni yake inayodaiwa.
 
Nicol in Plea over Frozen Accounts:

Bernard James

7 August 2011

Share:

[TD="class: share_item"] [/TD]
[TD="class: share_item"] [/TD]
[TD="class: share_item"] [/TD]
[TD="class: share_item"] [/TD]
[TD="class: share_item"] [/TD]
[TD="class: share_item"] [/TD]
[TD="class: share_item"][/TD]

Two months after being delisted from the Dar es Salaam bourse over financial misconduct, embattled National Investment Company Limited (Nicol) is now asking the High Court to lift an order that froze its bank accounts to save the company from total collapse.

The public company, which faces expulsion from its Raha Tower Building offices over failure to pay $ 42,000 (about Sh63 million) rent, is pleading with the court to quash a decision by the Capital Markets and Securities Authority (CMSA) to block the sale of its shares in the National Microfinance Bank (NMB) for investment.

Its landlord has asked the company to vacate the premises by August 21 if by then the debt is not paid.

The filing of the suit comes five months after CMSA wrote to CRDB, NMB and Exim banks instructing them to block any cash outflows from its accounts to protect the interests of Nicol investors.

Nicol says the freezing of its bank accounts has halted its operations and that it is likely to sink into more trouble if the orders which would enable it to meet its urgent financial obligations are not granted.

The company argues that the attachment of its accounts violated Section 22 of the CMSA Act which stated that such bank accounts may be attached only if they are related to proceeds actually involved in violation of any of the provisions of CMSA Act.

CMSA had, between December 2010 and January this year, carried out investigations into activities by Nicol and uncovered massive irregularities, including failure to maintain proper accounts.

The authority then suspended its board of directors and chairman Felix Mosha and ordered the company to convene an annual general meeting. The company was also scrapped from the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) after it failed to tell its shareholders that a pharmaceutical company in which it has a 51 per cent stake was put into receivership late last year.
In the case, which it filed last week, Nicol also wants the court to lift the CMSA directive that barred NMB from depositing its dividends into its account at Exim Bank.

The company is also asking the court to temporarily allow its chairman and board of directors to resume office and manage their affairs, including holding an annual general meeting.Nicol argues that the decision to suspend its management was prejudicial and detrimental to its interests as a public company.
Apart from Nicol, other applicants in the case are Mr Felix Mosha and Kathleen Armstrong while the second respondent is the Attorney General.
Mr Mosha says in an affidavit he swore in support of the application that the company has failed to pay its employees for five months, as well as service a loan it secured from Exim Bank, as a result of the suspension.
[h=2]Relevant Links[/h]

"No board or shareholders' meeting can be convened as ordered by CMSA as a result of lack of funds and a lawful organ mandated to do the job," Mr Mosha says.
He further disclosed that Nicol had also failed to pay its suppliers and service providers and that the company was likely to face court action for breach of contract.
"I strongly believe that the manner in which CMSA has been handling Nicol affairs since 2009 and the decision to freeze its accounts was made mala fide [in bad faith]," he says.
Mr Mosha alleges that the delisting of the company from the bourse and the ejection of its chairman has been CMSA's agenda for a long time. "It started the campaign in 2009 when it put pressure on the Nicol board to resign and wanted the shareholders to remove the board."

Source: The Citizen 07/08/2011.
 
Jamani ni vema tukatafakari sana mi nadhani NICOL imeuawa na watawala wasioitakia mema inji hii, ukweli utajulikana siku si nyingi....
 
dar stock tayari wamewatoa nicol kwenye soko(DSE) na kwasasa nicol si mwanachama kwahiyo hawawezi kufanya lolote juu ya nicol kwakuwa si mwanachama wake tena.

felix mosha ameshasimamishwa kuendesha shughuli za nicol na ila bado nashangaa vijana waliokuwa ndani ya kampuni hii kwanini wasije na mawazo yao na waanze kuongoza na kuiokoa kampuni hii

nawashauri nicol njia nzuri ya kuondokana na tatizo hili ni kujiingiza kwenye biashara ya mafuta nao wawe mashujaa wetu

Godwine naona hapo kwa kuwa-delisted hujaelewa vizuri haina maana si mwanachama tena, bado CMSA inamamlaka na ndio maana CMSA imezuia bado akaunti za NICOL. CMSA inweza kuchukua hatua zaidi za kuwa-protect wanahisa. Kwa kuwa Felix na wenzake bado wanang'ng'ania ofisi, ingekuwa bora CSMA ingeteua caretaker manejimenti ili wakati wampito waweze kuendesha shughuli za NICOL mpaka hapo mkutano mkuu wa wanahisa utapoteua manejimenti mpya. Huo ushauri wako wa ku-offload shares za NICOL sijaona mantiki yake kwa sasa ambapo NICOL ipo taabani. Endapo NICOL itaingia kwenye biashara ya mafuta au la hilo ni jambo linalopaswa kuamuliwa na manejimenti makini na kupewa ridhaa za shareholders sio matepeli Felix Mosha! Uamuzi wa kuingia katika biashara ya mafuta au la ni hatua inayotakiwa upembuzi yakinifu ikifanyika kwa haraka inaweza isiwe wa manufaa ikiwa itaamuliwa kwa msukumo wa fuel crisis iliyopa sasa. Maamuzi ya biashara hufanywa kwa kutafakara factors zote.
 
Godwine naona hapo kwa kuwa-delisted hujaelewa vizuri haina maana si mwanachama tena, bado CMSA inamamlaka na ndio maana CMSA imezuia bado akaunti za NICOL. CMSA inweza kuchukua hatua zaidi za kuwa-protect wanahisa. Kwa kuwa Felix na wenzake bado wanang'ng'ania ofisi, ingekuwa bora CSMA ingeteua caretaker manejimenti ili wakati wampito waweze kuendesha shughuli za NICOL mpaka hapo mkutano mkuu wa wanahisa utapoteua manejimenti mpya. Huo ushauri wako wa ku-offload shares za NICOL sijaona mantiki yake kwa sasa ambapo NICOL ipo taabani. Endapo NICOL itaingia kwenye biashara ya mafuta au la hilo ni jambo linalopaswa kuamuliwa na manejimenti makini na kupewa ridhaa za shareholders sio matepeli Felix Mosha! Uamuzi wa kuingia katika biashara ya mafuta au la ni hatua inayotakiwa upembuzi yakinifu ikifanyika kwa haraka inaweza isiwe wa manufaa ikiwa itaamuliwa kwa msukumo wa fuel crisis iliyopa sasa. Maamuzi ya biashara hufanywa kwa

kutafakara factors zote.

mimi nimesema imetolewa kwenye DSE(dar es salaam stock exchange) lakini bado non active member of CMSA
 
nicol mnaendeleaje naomba taarifa vijana mmekomboa fedha zenu au bado malalamiko yanaendelea
 
Haya ya NICOL yameishia wapi wazalendo? Tujulisheni tujue!
 
Back
Top Bottom