Nicole Berry, mwanadada anayepiga mamilioni kwenye kilimo cha vitunguu Iringa

Za mwizi ni 30
 
Hii kauli "kioo cha jamii" siku hizi inatafsiriwaje?

Zamani tulikuwa tunaambiwa Sanaa/fasihi ni kioo cha jamii kwa maana ya kuwa ukitaka Kujua jamii flani ikoje angalia Sanaa yake!

Kama Sanaa imeoza jua jamii imeoza pia..

Sasa siku hizi kioo cha jamii inatafsiriwa kama "wema wa jamii"!
 
Acheni uongo
 
Kha! Huu msambwanda mbona sijawahi kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…