Nicole Berry, mwanadada anayepiga mamilioni kwenye kilimo cha vitunguu Iringa

Nicole Berry, mwanadada anayepiga mamilioni kwenye kilimo cha vitunguu Iringa

vijana shtukeni kilimo kinalipa balaa, ebu ona dada yetu anavyopiga mamilioni kwnye kilimo huko Iringa. Nini maoni yako mkuu
Hapa akiandaa shamba kwa ajili ya kupanda
View attachment 1413601View attachment 1413649
hapa akibadlishana mawazo na wafugaji wenzake wenye asili ya kimasai njia mpya za ufugaji
View attachment 1413653
hapa chini akipumzika kidogo kabla ya kuendelea na safari kuelekea shambani
View attachment 1413655
akiwa amepumzikaa nyumbani baada ya mihangaiko ya siku nzima shambani
View attachment 1413656View attachment 1413657View attachment 1413658
hapa akishiriki video ya mbongo fleva Harmonize,anadai hakutaka kabisa kushiriki video hii sababu ya maadili na hasa ikizingatiwa kuwa hajazoea kuacha mwili wake wazi.
View attachment 1413674
Hilo sio shamba ni bustani,hakuna hata hekari mbili hapo ambazo zinaweza kuingiza kipato cha 20m.
Huyo muuza mku....duu tu ndio biashara inayomuweka mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana makalio ni shamba lenyewe, AF abdalah kichwa wazi ndio mpini wenyewe.Lugha inaongea.Acha Sarah alielie alifikiri ukiwa mwarabu unapewa vyote kumbe kuna vingine wamepewa wabantu waupe hawana ndio maana hadi mfalme was UK akaasi ufalme kisa mitako ya wabantu.
 
Huyu dada kani-inspire sana, yaani tangu nisikie taarifa zake, fasta nikakimbia Mkuranga na nimepata liekari langu limoja taslimu, na Alhamdullilah, nimeanza na mwaka wa baraka manake mvua si haba tangia september mwaka jana hadi sasa!

Endeleeni na ku-bet vijana, na hii corona sijui mta-bet nini!!
mashamba yamekaaje mkuu huko, 80K napata acre?
 
Back
Top Bottom