Nicole Berry, mwanadada anayepiga mamilioni kwenye kilimo cha vitunguu Iringa

Nicole Berry, mwanadada anayepiga mamilioni kwenye kilimo cha vitunguu Iringa

Huyu dada kani-inspire sana, yaani tangu nisikie taarifa zake, fasta nikakimbia Mkuranga na nimepata liekari langu limoja taslimu, na Alhamdullilah, nimeanza na mwaka wa baraka manake mvua si haba tangia september mwaka jana hadi sasa!

Endeleeni na ku-bet vijana, na hii corona sijui mta-bet nini!!
 
Hizo sandos zinafaa Sana kulimia kwenye tope na ni imara. NA hicho kisigino ni Cha mkulima wa jembe la mkono, mtanzania mnyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada kani-inspire sana, yaani tangu nisikie taarifa zake, fasta nikakimbia Mkuranga na nimepata liekari langu limoja taslimu, na Alhamdullilah, nimeanza na mwaka wa baraka manake mvua si haba tangia september mwaka jana hadi sasa!

Endeleeni na ku-bet vijana, na hii corona sijui mta-bet nini!!
Long time no see homie
 
Long time no see homie
You got it right pal, I remember our last conversation was about a possible gas industry stuff conference in Mtwara, and you said you'd be there!

Days later, I disappeared from JF and showed up almost 2 months later, and stayed for a few days before vanished again for almost another 2 months before showing up again a week or two ago!

Btw, how did it go... I mean that conference in Mtwara!
 
Back
Top Bottom