Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa pekee yake kuliko kutoka na mtu maskini.
Nicole ameeleza kuwa maisha yake yana gharama na malengo makubwa, hivyo mwanamume anayetaka kuwa naye lazima awe na uwezo wa kutosha wa kukidhi kiwango chake cha maisha.
Kutokana na hilo, amewataka wanaume wote wanaojijua hawana msingi mzuri wa kiuchumi kuacha kupoteza muda wao kumtumia jumbe za kutongoza mtandaoni, kwani kwake yeye amani ya nafsi na maisha ya pekee yake ni bora zaidi kuliko kuwa kwenye uhusiano unaoweza kumrudisha nyuma kiuchumi.
Kauli hiyo imelipua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii ambapo mashabiki wamegawanyika vipande viwili.
Upande mmoja wa wadau mtandaoni umemtetea kwa kusema ana haki ya kuchagua mpenzi anayeendana na vigezo vyake vya maisha, huku upande mwingine ukimjia juu na kumponda kuwa anathamini fedha kuliko utu na mapenzi ya dhati.
Wadau wengi wameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa maisha hubadilika, hivyo si vyema kuwadharau wanaume wanaopambana kujitafuta.
View attachment 3665045
Mitandao hii inajua kuwapa maisha ya maigizo hawa wanaojiita celebrity sijui..Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa pekee yake kuliko kutoka na mtu maskini.
Nicole ameeleza kuwa maisha yake yana gharama na malengo makubwa, hivyo mwanamume anayetaka kuwa naye lazima awe na uwezo wa kutosha wa kukidhi kiwango chake cha maisha.
Kutokana na hilo, amewataka wanaume wote wanaojijua hawana msingi mzuri wa kiuchumi kuacha kupoteza muda wao kumtumia jumbe za kutongoza mtandaoni, kwani kwake yeye amani ya nafsi na maisha ya pekee yake ni bora zaidi kuliko kuwa kwenye uhusiano unaoweza kumrudisha nyuma kiuchumi.
Kauli hiyo imelipua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii ambapo mashabiki wamegawanyika vipande viwili.
Upande mmoja wa wadau mtandaoni umemtetea kwa kusema ana haki ya kuchagua mpenzi anayeendana na vigezo vyake vya maisha, huku upande mwingine ukimjia juu na kumponda kuwa anathamini fedha kuliko utu na mapenzi ya dhati.
Wadau wengi wameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa maisha hubadilika, hivyo si vyema kuwadharau wanaume wanaopambana kujitafuta.
View attachment 3665045
Yeye mwenyewe masikini sana ,hakuna mwanamme mwenye hela akadate na wewe labda awe MSHAMBA mwenzako...Niache kula vitu vizuri kama huyu ,nije kula MAPLASTIKI na MASILICON?Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa pekee yake kuliko kutoka na mtu maskini.
Nicole ameeleza kuwa maisha yake yana gharama na malengo makubwa, hivyo mwanamume anayetaka kuwa naye lazima awe na uwezo wa kutosha wa kukidhi kiwango chake cha maisha.
Kutokana na hilo, amewataka wanaume wote wanaojijua hawana msingi mzuri wa kiuchumi kuacha kupoteza muda wao kumtumia jumbe za kutongoza mtandaoni, kwani kwake yeye amani ya nafsi na maisha ya pekee yake ni bora zaidi kuliko kuwa kwenye uhusiano unaoweza kumrudisha nyuma kiuchumi.
Kauli hiyo imelipua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii ambapo mashabiki wamegawanyika vipande viwili.
Upande mmoja wa wadau mtandaoni umemtetea kwa kusema ana haki ya kuchagua mpenzi anayeendana na vigezo vyake vya maisha, huku upande mwingine ukimjia juu na kumponda kuwa anathamini fedha kuliko utu na mapenzi ya dhati.
Wadau wengi wameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa maisha hubadilika, hivyo si vyema kuwadharau wanaume wanaopambana kujitafuta.
View attachment 3665045
Kuna picha zake niliziona mtandaoni wakati ule amekamatwa na polisi ~ pale unauona urembo wake kwa uhalisia
Na maziwa yake kama mitungi ya gesi
Ndo huyu!?Mwanamitindo Nicole Joy Berry atoa onyo kali kwa wanaume (DM) wakitaka mahusiano naye. Katika tamko lake hilo lililozua mjadala mzito, Nicole ameweka wazi msimamo wake kuwa hayuko tayari kuingia kwenye mahusiano na mwanamume asiye na uwezo wa kifedha, akisisitiza kuwa ni bora aendelee kuwa pekee yake kuliko kutoka na mtu maskini.
Nicole ameeleza kuwa maisha yake yana gharama na malengo makubwa, hivyo mwanamume anayetaka kuwa naye lazima awe na uwezo wa kutosha wa kukidhi kiwango chake cha maisha.
Kutokana na hilo, amewataka wanaume wote wanaojijua hawana msingi mzuri wa kiuchumi kuacha kupoteza muda wao kumtumia jumbe za kutongoza mtandaoni, kwani kwake yeye amani ya nafsi na maisha ya pekee yake ni bora zaidi kuliko kuwa kwenye uhusiano unaoweza kumrudisha nyuma kiuchumi.
Kauli hiyo imelipua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii ambapo mashabiki wamegawanyika vipande viwili.
Upande mmoja wa wadau mtandaoni umemtetea kwa kusema ana haki ya kuchagua mpenzi anayeendana na vigezo vyake vya maisha, huku upande mwingine ukimjia juu na kumponda kuwa anathamini fedha kuliko utu na mapenzi ya dhati.
Wadau wengi wameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa maisha hubadilika, hivyo si vyema kuwadharau wanaume wanaopambana kujitafuta.
View attachment 3665045
WowwwYeye mwenyewe masikini sana ,hakuna mwanamme mwenye hela akadate na wewe labda awe MSHAMBA mwenzako...Niache kula vitu vizuri kama huyu ,nije kula MAPLASTIKI na MASILICON?
View attachment 3665494