Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Duru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana alisalitiwa na watu wake wa karibu kiasi cha kuvujisha hadi siri zake za ndani kabisa. Matokeo yake ni kutekwa kama kuku.
Vivyo hivyo kwa kutetea rasilimali za taifa la Tanzania hayati JPM alisalitiwa na watu wa karibu ambao hakutatajia kuwa watamsaliti.
Vivyo hivyo kwa kutetea rasilimali za taifa la Tanzania hayati JPM alisalitiwa na watu wa karibu ambao hakutatajia kuwa watamsaliti.