Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Mimi na wewe nani mjinga?Tutolee ujinga wako hapa.
Ur stupidkwani Magufuli alikuwa na yeye ni PUSHA?
Licha ya kutoa maangalizo kadhaa,Vivyo hivyo kwa kutetea rasilimali za taifa la Tanzania hayati JPM alisalitiwa na watu wa karibu ambao hakutatajia kuwa watamsaliti.
Ukijibu swali ambalo haujaulizwa ujue kuna kitu.Licha ya kutoa maangalizo kadhaa,
JPM aliondoka kwa natural death
P
Wana CCM mtandao.hawa watu wa karibu waliomsaliti hayati JPM ni kina nani?
Acha propaganda za kishamba. Huyo ni rais na alikuwa na ulinzi mkali kama rais. Kilichofanyika mission ya Marekani ilikuwa na nguvu kuliko ulinzi wake. Asalitiwe kitu gani? Kila mtu anajua rais anaishi wapiDuru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana alisalitiwa na watu wake wa karibu kiasi cha kuvujisha hadi siri zake za ndani kabisa. Matokeo yake ni kutekwa kama kuku.
Vivyo hivyo kwa kutetea rasilimali za taifa la Tanzania hayati JPM alisalitiwa na watu wa karibu ambao hakutatajia kuwa watamsaliti.
Una akili ndogo kama punje ya mchangaAcha propaganda za kishamba. Huyo ni rais na alikuwa na ulinzi mkali kama rais. Kilichofanyika mission ya Marekani ilikuwa na nguvu kuliko ulinzi wake. Asalitiwe kitu gani? Kila mtu anajua rais anaishi wapi
Yeye ndie aliua upinzania kabisa, akatuachia Bunge la ccm badala ya Bunge la Tanzania. Akahalalisha na kuuanda squad maamulu ya kuua wapinzani ndani ya Taifa.Mpumbavu wewe,magufuli alikua shujaa??katiba mpya aliyoacha Iko wapi??
Vijana wa 2000 wanaiona Marekani ni kama JWTZ hivi.Acha propaganda za kishamba. Huyo ni rais na alikuwa na ulinzi mkali kama rais. Kilichofanyika mission ya Marekani ilikuwa na nguvu kuliko ulinzi wake. Asalitiwe kitu gani? Kila mtu anajua rais anaishi wapi